Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe nadhani ni mgeni humu jukwaani hii statement nimeanza kuotoa toka mwezi September
Ushaanza kumpamba sasa OGS Bado ana muda wakujipanga Kurejesha Furaha ilopotea pale OT katuangusha Mechi ngapi mpaka unaanza kumpa sifa kama hizo.
Yeye anajitahidi kwa kiasi chake anatufurahisha ngoja tuone Next Fixture.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The best performance au the best result

Hapa naona mnachanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
1.We neither make mistake in defence nor in midfield
2.Kama Martial/James wangempa Bruno pasi ushindi ulikuwa si chini ya goli 4
3.For the first time tumecheza na City hawakuwa threat kabisa Aguero aliwekwa mfukoni
4.OGS alifanya sub sahihi kwa wakati sahihi
Kuna game tumewafunga City lakini tulizidiwa but hii game tofauti
 
una maanisha var monitor au??..maana 0T hamna screen
ipo ya var, ni lazima kuwekwa
UPDATED_VAR_image-11564770927295_large.jpg
 
Upo sahihi mkuu

Hii ndio game tuliyoshinda dhidi ya timu kubwa comfortably

Ndio maana PERFORMANCE ya game nai rate very highly

Back
Top Bottom