Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,890
- 7,042
Naaam
Naaam
Akifunga unashangilia, akizingua ni mwendo wa kumnanga.
hakuna striker yoyote epl mwenye conversion rate kubwa kushinda martial (msimu uliopita) na sitashangaa pia msimu huu akiongozaNamaanisha [emoji23][emoji23] baada ya kukosa mara tatu anapata moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora liumie litolewe...ule mpira angekuwa mchezaji agressive lazima angeuwahi na angeleta shida kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
A clear penalt ,refa alivyo mpuuzi hakuangalia VAR.I hope United watakata rufaa ile kadi ya FredHivi ile foul kwa Fred kwanini siyo penalty? Kwanini amepewa yellow! Kwanini VAR haikuhusika?