Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu tunampenda martial na tunashukuru kwa kufunga ila Ighalo ni hatari sana aggressive ball.control ya haja awe anaanza bana.

Ngoja LASK LINZ wapewe dozi na ighalo ndio mjue naongea ukweli kuanzisha Bishoo ni kutupa presha bure.


Tunahitaji kubalance mashambulizi ili na wapinzani wasipande ovyo ovyo
 
Ameanza kuwa mchoyo siku hizi

Nadhani hii tunasababisha mashabiki, tunapohoji kwa nini siku hafungi

Amemnyima Fernandez pasi afunge goli la wazi kabisa
Viungo wetu hawajajua bado kumtumia Daniel James. Dogo ni wakupigia mipira mirefu awatoe jasho mabeki kwa mbio,ama atafunga au atatoa assist.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom