Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

5th
Screenshot_20200308-212543_All%20Goals.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlistahili ushindi bila hiyana. Defense imefanya kazi yake kwa ustadi mkubwa mno, bwana mdogo William, Bissaka (kamweka Sterling mfukoni), Maguire na Shaw wote walikuwa kwenye viwango vizuri sana.

Bruno kama kawaida kaonyesha nini mlikuwa mnakikosa, ile ni bonge la assist. Matic na Fred nao wamejitahidi, hususani kwenye kuzuia na kupunguza ukali wa mashambulizi ya City kuwa organised hapo kati. Mikono ya De Gea nayo ikawabakiza mchezoni. Kweli mmeonyesha njaa ya top 4.

NB:- Sasa twaweza kusema mmetusaidia kupunguza uwingi wa mechi kunyakua ubingwa wetu. Shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom