Mbozi31
Member
- Jan 23, 2020
- 9
- 13
Bongo tunajua ni vibao kata tu na kuvua nguo barabarani mpira hatuwezi huwez kujua bruno alicheza namba gani unachojua mech iishe uje uponde bongo nyoso
Pereira na Matteo G waondoe mkuu.. Yabaki hayo matoto manne ya UK
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Ole atajaribu kumuweka Fred nje katika hali yoyote nitamuona kichaa zaidi.
Naona kwa sasa baada ya ujio wa Bruno nafasi ya kiungo itakuwa na changamoto sana watakapopona Scott na Pogba. Maana hata huyo Mata siku hizi naona anacheza sana na anachangamsha sana timu sasa sijui ndio anaidai namba 10 yake.

Bruno kanipigia pass moja ya ki-Pogba(pass ndefu), ilikuwa burdani sana, sema wanaopigiwa hata hawajielewi(Martial).
Bruno tumepigwa bhana kwa kiasi alichonunuliwa mechi yake ya kwanza alipaswa awe na Ratings za juu sana
TUMEPIGWA
Not good result, not bad result
Kwa kuangalia midfield iliyocheza, bado naona tumepata matokeo sio mabaya sana
Hayupo Matic, hayupo Tominay, hayupo Pogba. Hao wangekuwepo probably leo Pereira ambaye amecheza chini ya kiwango asingeanza. Nina uhakika tungefanya vizuri zaidi
Leo na siku zote tunazocheza na timu ambazo on paper tunazizidi huwa hatufanyi transition ya haraka ya mashambulizi pindi tunaponyang'anya adui mpira. Na hii ni style isiyomsaidia James kabisa
Martial amejitahidi kupambana lakini mipira mingi aliyopokea alikuwa akilipa mgongo goli la adui hivyo imekuwa ni ngumu sana kufanya jambo lolote
Bruno Fernandes, ambaye amefanya mazoezi jana tu na wenzake amecheza vizuri, sio sana lakini vizuri. Amepiga mashuti golini jambo ambalo tumekuwa tukishindwa kulifanya kwa mechi zetu nyingi. Pia amekuwa akijaribu kupitisha pasi (penetration pass). Kwenye kusaidia ulinzi ametimiza majukumu yake ipasavyo, not a bad debut.
Maguire solid as usual, Lindelof amecheza vizuri, Degea hakuwa bize sana lakini ametimiza majukumu yake, clean sheet kwenye mechi ya pili mfululizo. Inaonesha tunaizidi kuboreka kwenye ulinzi.
Wan Bissaka going forward bado sana, Wan Bissaka akiwa na mpira muda wowote anakosea. Wan Bissaka akikaba huwezi kuwa na wasiwasi. Wan Bissaka ana kazi ya kufanya
Waliobaki wamecheza vizuri. Sijui OGS aliwaza nini kumtoa Pereira na kuingiza Dalot wakati tunatafuta goli, nilidhani atamtoa Bissaka. Kwa mtazamo wangu sub ya Greenwood ilipaswa kuwa ya mapema zaidi, labda dakika ya 70, labda baada tu ya Adama kutoka
Twende kwenye mapumziko ya wiki 2 tukawatazame akina Lukaku wakifanya yao. Wiki mbili bila EPL ni nyingi sana.
Next stop, Stamford Bridge kwa wateja wetu. Ni matumaini Scot, Kirusi na Matic watakuwa wapo tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app











Mkuu 3doors kwema?NIMEFURAHI SANA MKUU KUONA COMMENT HII..naona lugha yetu inaanza kuwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapata wapi nguvu ya kuandika maneno mengi hivi ili hali timu yako haichukui ubingwa msimu huu?
Unajitesa bure
Fupisha stori:-_
Pereira - BOMU
Martial - Kilaza
James - waruwaru
Bruno - Safi
Sent using Cash Money Wings
Kumbe unamwelewa pogba na umuhimu wake.... Wacha kumponda sasa
Mount ni Lingard mwenye nguvu
Sent using Cash Money Wings
Unapata wapi nguvu ya kuandika maneno mengi hivi ili hali timu yako haichukui ubingwa msimu huu?
Unajitesa bure
Fupisha stori:-_
Pereira - BOMU
Martial - Kilaza
James - waruwaru
Bruno - Safi
Sent using Cash Money Wings
Kwahiyo Fernandes anakuja kucheza kama DM or Holding??
viungo wawili wote pogba na mctominay wote majeruh kwa heri fred kivipi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Loan deal ya Ighalo.
Sio mbaya, timu ilihitaji Mtu yeyote anaeitwa striker.
Naona baada ya kumkosa Haaland, waliishiwa option.
Beggars are not choosers
Pogba na huyu McTominay kuna mechi wamecheza wote tukawa tunawakataa humu
Game 3, goli saba(7) na siyo 8 mkuu.Katika game 3 kashatupia goli 8 huko Bundesliga anamtafuta Timo Werner.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba na huyu McTominay kuna mechi wamecheza wote tukawa tunawakataa humu
Time will tell when McTominay na Pogba watakaporudi
Mbona kabla kirusi hajaumia walikuwa wakicheza hivyo hivyo?.
Namsubiri Tominay na Pogba apone nione nani atakaa benchi, possibly ni Fred.
Sent using Jamii Forums mobile app