mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Best commentKwa Kua umependekeza mada hiyo iishie hapo nami naungana na wewe kwa afya yetu sote as MAN UNITED Fans ni vizuri kufunga mjadala huo.
Nisahihi kabisa nakumbuka kweli kwamba ulikua upande wa Kocha that time.
Luka is no more Man United player so tumuache nasi tujadili tulivyo navyo, shortage ya mfungaji mwenye njaa iliyokithiri ambaye yuko tayari hata kuvunjika pua ili timu ifunge, Management mbovu inayojali faida za kiuchumi na isiyofahamu mahitaji halisi ya soka (hapa namzungumzia ED Na Wamiliki Glazers family), team kukosa consistence Leo inacheza hivi kesho vile, mbinu za hovyo katika kusajili mchezaji unamkosa kwa hela ndogo then unalazimika kumchukua January kwa hela zaid (rejea tukio la Bruno Fernandez).
Naunga mkono kila ghasia anazofanyiwa Ed angalau yeye binafsi na Glazers family wataheshimu position yetu fans katika team, perhaps watafeel maumivu yetu yakufungwa na team ambazo zinataka kushuka daraja wamepafanya Old Trafford kua ni Uwanja wa kawaida kawaida tu kwamba yeyote anaweza pata matokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli walifurahia single digit lkn inakuwa ngumu sana babae.
Sanchez sijui, di maria hana nyota, kwa sasa ukimuuliza hata mtoto anaweza akasema di maria ni mchezaji wa Yanga. Yaani hasikiki kabisa. Tofauti na wakati flan akiwa Madrid, alikuwa nyota sijui nani kaizima babae.
Hakuna timu iliyosubmit reasonable bid. Hata mi nlitaman aondoke ila sio kwa bei rahisi....Ndio mchezaji pekee creative tulio nae kwenye timu pamoja kwamba ana ukike mwingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bad
Bado nabaki palepale, Pogba sijawahi kujua kwanni ole alimkumbatia, Pogba alishaonyesha disrespectful tangu Ferguson era. Fergie akamuondoa. Though he world professional, mata, ana discipline Sana, Pogba hana ama anautoto, alitakiwa aelelekezwe, tofauti na Morinyo, ole anamzungumzia very positive, like he is sick, paper distroy his players, hayo ni maneno ya utetez kwa wachezaji wake. Morinnho just fuk around, yaani anatema Checheee mchezaji anamsema na kadhalika.
He is one of the best Coach on Earth. Lkn leadership skills sifuri. Anakosanakosana na watu. Sio mbaya kuonyesha emotions lkn sometimes you have to cool down.
Nilimuelewa sana Ole, hadi de gea alikuwa aondoke, lkn mlinda mlango ametulia, i thought the same kwa Pogba, Mungu amsaidie apone. Ila angekuwa anajitahidi kukaa kimya, kama unafanya kaz sehem huku unasema viby uongozi wewe ni useless, chizi.
Lukalu ni miongoni mwa respected players! Nidhamu yake inamfanya awe vile, kwa sisi wakongwe wa soka, sion mchezaji wa kutisha kwenye hizi Liverpool, man city, ni wakawaida sana.
Tafuta wachezaji wenye nidhamu uwanjani wengi ni best players. Nidham inamuacha salama mtu yoyote including players, pogba ataanguka akiendelea na upuuz wake.
Hapa tunaongelea Lukaku kuchezeshwa central striker, na nimekwambia hiyo case ya kuchezeshwa pembeni kwenye game ya Brazil ilikuwa ni tactic mahususi kulingana na mechi hiyo, lakini kwa kawaida Lukaku mechi zote anaanzia kati. Sasa wewe kuchezeshwa mechi moja ndio unataka kutuaminisha kuwa mechi za Ubelgiji Lukaku huwa anatokea pembeni
Tuma na mechi za Belgium dhidi ya England, Tunisia na Panama. Lukaku namba anayocheza Ubelgiji ni central striker na huwa hatokei pembeni. Case ya mechi moja isikufanye u generalise
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu comment yako imenifanya niingie machimbpo zaidi
1. lukaku ametumiwa rw akiwa west brom mfano wa mechi ni kama awb s westham
2. martinez ameshamtumia sana everton kama winga wa kulia, mfano wa mechi ni kama
-vs man city
View attachment 1342565
vs liverpool
View attachment 1342570
3. hata akiwa chelsea ameshatumika kama Rw
View attachment 1342572
haishii hapo tu huyu jamaa hadi lw alikuwa akichezeshwa
View attachment 1342576
View attachment 1342578
ulimsikia huku akisubmit transfer request kwa kuchezeshwa toka kulia ama kushoto?
Watu Pogba mnamchukulia poa sana. Hakuna kiungo aina ya Pogba duniani kwa sasa. Timu ni muhimu iwe na players wenye talent na entertainers hata km work late yao ni ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo ni mtoto wa bwana Bishop HilukaSijaelewa hapa jamani huyu dogo nani anamfahamuView attachment 1342721View attachment 1342722
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo ni mtoto wa bwana Bishop HilukaSijaelewa hapa jamani huyu dogo nani anamfahamuView attachment 1342721View attachment 1342722
Sent using Jamii Forums mobile app