Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani bado yupo West brom, au Everton si alishaondoka (mpito, mpito, mpito)

Na kilichopo ni kwamba pembeni alichezeshwa occasionally, haikuwa kwamba sasa yeye ndio atawapisha wengine halafu awe anatokea kushoto. Lukaku ana ego, kumpisha Rashford au Martial ili yeye acheze pembeni ni kama matusi kwake

After all hakuwa established player, kwa hiyo alikuwa tayari kujifunza (malengo ya loan) kwa kuwa deployed kwenye namba tofauti tofauti. Kuna umri wa kurushwa namba kwa kuwa unajua ukifika muda wako utacheza namba yako, sasa yeye yupo 26 years halafu ghafla anaambiwa atokee pembeni (sio kwa mechi moja au mbili, yaani kocha ndio kaamua)

Ni sawa na sasa anavyochezeshwa Greenwood pembeni, usitegemee akiwa na miaka 25 atakubali kuwekwa pembeni

Nifukulie na mechi za Ubelgiji tuone ngapi (ukiacha ya Brazil) alichezeshwa pembeni na ngapi alicheza katikati ili tujue kwamba kweli Martinez huwa anachezeshwa Rom pembeni kama unavyotueleza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mc cane nashauri uufunge huo mjadala, ni league tu isiyoisha na isiyo na tija yoyote.

Hifadhi hizo calories kwa mijadala mingine ya kuhusu Team yetu.

Hamtafikia hitimisho.

MAN IS ALWAYS UNITED!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWELI MKUU LETA STATS, NA IGHALO ATAKAPOANZA KUCHEZA NDIO ITAJULIKANA TULIPOTEZA MUDA SANA KWA HUYU BISHOO. IGHALO NI MPAMBANAJI KWELI KWELI.NDIO WALE WACHEZAJI WAKO RADHI KUVUNJIKA PUA KULIKO KUUKOSA MPIRA WA JUU.
Uyu martial takataka??? Akitoka apo man u awezi pata naomba ata QPR au Bolton ...ni mojawapo ya mchezaji mzembe kuwahi kutokea...

Kama unabisha lete stats na mimi nilete za kwangu

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWELI MKUU LETA STATS, NA IGHALO ATAKAPOANZA KUCHEZA NDIO ITAJULIKANA TULIPOTEZA MUDA SANA KWA HUYU BISHOO. IGHALO NI MPAMBANAJI KWELI KWELI.NDIO WALE WACHEZAJI WAKO RADHI KUVUNJIKA PUA KULIKO KUUKOSA MPIRA WA JUU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichokigundua we jamaa ukipewa Martial na jiwe, utachagua jiwe.

Sijamzarau Ighalo.

Beggars are not choosers
 
Loan deal ya Ighalo.

Sio mbaya, timu ilihitaji Mtu yeyote anaeitwa striker.

Naona baada ya kumkosa Haaland, waliishiwa option.

Beggars are not choosers
 
Odion Ighalo

Mchezaji wa ki Nigeria mwenye experience ya kucheza ligi za nchi kama ya Norway, Spain, Uingereza na China

Ana uzoefu wa kucheza ligi kuu ya Uingereza kwa Misimu 2 ambapo alikipiga klabu ya Watford

Ighalo ambaye mwaka 2016 alikiri kuwa yeye utotoni alikuwa ni shabiki wa United, ana jumla ya magoli 131 kati ya mechi 322 alizocheza katika carrier yake

Msimu uliopita Odion Ighalo alikuwa mfungaji bora wa pili katika Ligi Kuu ya soka nchini China baada ya kufunga magoli 21. Katika mechi 72 alizocheza, akiwa China ameweza kufunga magoli 46. Katika ligi ya Mabingwa amefunga magoli 10 katika mechi 17.

Msimu uliopita klabu ya Barcelona walitaka kumsajili majira kama haya, lakini Ighalo alikataa kwa kusema huo ulikuwa ni uamuzi rahisi kwake, pia aliona ni fedheha kwa mfungaji bora namba 2 kwenye ligi ya China kwenda kuwa back up striker pale Barca

Ighalo mwenye miaka 30 amesajiliwa kwa ajili ya nusu msimu (kwa kiasi kinachotajwa kuwa £4m) uliobaki na hakuna option ya kumnunua. United watalipa kiasi kinachokadiriwa kuwa £150,000 kwa wiki kama sehemu ya mshahara wake ambao ni £300,000 kwa wiki

Usajili wa Ighalo ni usaji wa "Afadhali" kwetu, sio usajili wa kutufanya mashabiki wa United kuwa na mshawasha mkubwa, lakini ni usajili utakaongeza namba ya ma striker na kitu tofauti pale ukilinganisha na aina ya ma striker waliopo

Ukweli ni kwamba, tumemsajili Ighalo kutokana na kukosa muda wa kufanya usajili mzuri zaidi, na hii imesababishwa na kuchukua muda mrefu kwenye dili la Bruno kuliko ilivyopaswa, tunarudi kule kule kwa bodi na Ed

Para ya mwisho kabisa umenichefua sana.

Huyo Ighalo ni garasa tu.

Ameletwa muache kelele kwamba hamjasajili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Pogba ana nini cha ziada kiasi useme hakuna kiungo duniani aina ya Pogba

Sidhani kama anaingia hata top 5 ya viungo bora pale uingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara zote pogba ameingia kikosi bora cha uingereza unasemaje hayupo top 5? Hichi ni kikosi bora cha ligi ya uingereza msimu uliopita

Na kwenye 3 man midfield yupo.
 
Watu Pogba mnamchukulia poa sana. Hakuna kiungo aina ya Pogba duniani kwa sasa. Timu ni muhimu iwe na players wenye talent na entertainers hata km work late yao ni ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa unampenda sana pogba asee. Siyo mbaya ila huyo mchezaji hatakiwi kabisa kuendelea kuwepo Man U,ataibomoa sana timu
 
Hii timu inaangalia faida Kubwa tu,wamepeleka ofa ya kwanza kwa Bournemouth ili wamsajili King walivyotoswa tu wakaamua wamtafute ighalo wa mkopo. King naamini angekuwa na work rate Kubwa sana hasa ukizingatia ametoka ktk youth rank ya Man U.
 
Back
Top Bottom