Not good result, not bad result
Kwa kuangalia midfield iliyocheza, bado naona tumepata matokeo sio mabaya sana
Hayupo Matic, hayupo Tominay, hayupo Pogba. Hao wangekuwepo probably leo Pereira ambaye amecheza chini ya kiwango asingeanza. Nina uhakika tungefanya vizuri zaidi
Leo na siku zote tunazocheza na timu ambazo on paper tunazizidi huwa hatufanyi transition ya haraka ya mashambulizi pindi tunaponyang'anya adui mpira. Na hii ni style isiyomsaidia James kabisa
Martial amejitahidi kupambana lakini mipira mingi aliyopokea alikuwa akilipa mgongo goli la adui hivyo imekuwa ni ngumu sana kufanya jambo lolote
Bruno Fernandes, ambaye amefanya mazoezi jana tu na wenzake amecheza vizuri, sio sana lakini vizuri. Amepiga mashuti golini jambo ambalo tumekuwa tukishindwa kulifanya kwa mechi zetu nyingi. Pia amekuwa akijaribu kupitisha pasi (penetration pass). Kwenye kusaidia ulinzi ametimiza majukumu yake ipasavyo, not a bad debut.
Maguire solid as usual, Lindelof amecheza vizuri, Degea hakuwa bize sana lakini ametimiza majukumu yake, clean sheet kwenye mechi ya pili mfululizo. Inaonesha tunaizidi kuboreka kwenye ulinzi.
Wan Bissaka going forward bado sana, Wan Bissaka akiwa na mpira muda wowote anakosea. Wan Bissaka akikaba huwezi kuwa na wasiwasi. Wan Bissaka ana kazi ya kufanya
Waliobaki wamecheza vizuri. Sijui OGS aliwaza nini kumtoa Pereira na kuingiza Dalot wakati tunatafuta goli, nilidhani atamtoa Bissaka. Kwa mtazamo wangu sub ya Greenwood ilipaswa kuwa ya mapema zaidi, labda dakika ya 70, labda baada tu ya Adama kutoka
Twende kwenye mapumziko ya wiki 2 tukawatazame akina Lukaku wakifanya yao



. Wiki mbili bila EPL ni nyingi sana.
Next stop, Stamford Bridge kwa wateja wetu. Ni matumaini Scot, Kirusi na Matic watakuwa wapo tayari.
Sent using
Jamii Forums mobile app