Dah..... Sijui hata nikikueleza utanielewa
Nishawahi kusema kwa mtazamo wangu, Pogba is 65%-75% complete midfielder,
Kwa hiyo ranking ya kiasilimia, sio mchezaji mbaya, ni mzuri, above average
Lakini hiyo haimaanishi kwamba, hakuna midfielders wengine (duniani) ambao ni 70%-80% au to 90%
OGS asingemng'ang'ania summer na tungemuuza na tungenunua mwingine nisingekuwa namuongelea kwenye kikosi chetu leo hii. Lakini kwa sasa ndio yupo kikosini lazima tumtumie, after all midfielder wa hiyo ranking ya 65%-75% sio mbovu kiivyo.
Kiufupi Pogba kama mchezaji, kama yupo tayari kujitoa kwa asilimia zote na akiwa na right attitude ana potential kufika hiyo asilimia 75 kiuchezaji lakini kwa bahati mbaya hana hiyo mentality
Narudia, kwa sasa Pogba ni moja kati ya most creative players tulionao kikosini (nimesema tulionao kikosini, sio duniani) , hivyo kumuweka pembeni akiwa fit ni kujichanganya
Mwisho Pogba ni mchezaji ambaye niseme ni aina wachezaji wenye nyota ya kuwa overhyped, Pogba, Gareth Bale ni aina ya wachezaji wenye majina makubwa kuliko uwezo wao. Pogba ni Kinyume cha wachezaji kama akina Kante, KDB, Firmino & Co.
Ikitokea mtu kashuka kutoka sayari nyingine akatajiwa Pogba anaweza kudhani ni level za akina CR7 au Messi au Hazard kumbe yupo nyuma yao sana kiuwezo
Sent using
Jamii Forums mobile app