Manchester United (Red Devils) | Special Thread

0 - 0

Sio mbaya, Wolves uwa timu ngumu sana, nimeridhishwa na draw, bora kupata 1point kuliko kufungwa

Leo tumecheza vizuri japo tume draw

My view

Bisaka aweke jitihada sana kwenye kushambulia, akiwa mbele hana mamuzi mazuri

James uwa ana mechi na mechi sielewi kwann huyu dogo uwa hivi japo anakipaji sana

Pereira + martial hamna kitu, hatuna options itabidi OGS awatumie tu ila ntafurahi next game akaanza yule mnigeria badala ya martial

Maguire: Hii machine kubwa, Baba lao

Victor: Yupo vizur

Shaw: Improvement

Fred the red: Mnyama

Mata: He deserve more play minutes, ana offer vingi uwanjani, leo bado kidogo ashinde goli

De Gea: #1 in the world

Bruno: kaongeza ubora wa kikosi chetu, akiolewana na fred pale kati, pia matic au scot wakirud mambo yatakua okey

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechemka sana..Perera leo alikuwa moto. Bruno leo hakuwa kwenye kiwango chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anapoteza mipira hovyo huyo dogo.

Kuhusu Bruno nasubiri aje Pogba/Scott. Ila nahisi mif yetu itakuwa Pogba-Fred-Bruno hapo ndo nitamzungumzia Bruno.

Fred kwa sasa anastahili kuanza kila mchezo hata akija Pogba na Scott.

Wa moto leo alikuwa Special Juan. Kuna moja alikuwa anafunga kabisa ila mzembe Martial akaingilia. Huyo igbo atatusaidia sana maana sio kwa mzembe Martial.

Wolves nao walikuwa wazembe leo,wamepoteza nafasi sana.
 
NIMEFURAHI SANA MKUU KUONA COMMENT HII..naona lugha yetu inaanza kuwa moja.
0 - 0

Sio mbaya, Wolves uwa timu ngumu sana, nimeridhishwa na draw, bora kupata 1point kuliko kufungwa

Leo tumecheza vizuri japo tume draw

My view

Bisaka aweke jitihada sana kwenye kushambulia, akiwa mbele hana mamuzi mazuri

James uwa ana mechi na mechi sielewi kwann huyu dogo uwa hivi japo anakipaji sana

Pereira + martial hamna kitu, hatuna options itabidi OGS awatumie tu ila ntafurahi next game akaanza yule mnigeria badala ya martial

Maguire: Hii machine kubwa, Baba lao

Victor: Yupo vizur

Shaw: Improvement

Fred the red: Mnyama

Mata: He deserve more play minutes, ana offer vingi uwanjani, leo bado kidogo ashinde goli

De Gea: #1 in the world

Bruno: kaongeza ubora wa kikosi chetu, akiolewana na fred pale kati, pia matic au scot wakirud mambo yatakua okey

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMEFURAHI SANA MKUU KUONA COMMENT HII KUHUSU MARTIAL AKA MZEMBE

Back
Top Bottom