Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,506
Sasa mbona hiyo article yako inaonesha ni tactic ambayo Martinez aliitumia mahususi kwa ajili ya mechi ile, lakini wewe unatuambia humu kana kwamba Rom huwa anachezeshwa winger siku zote
Au mkuu umeweka source bila kusoma yote, au umewekewa?
Nakumbuka enzi za Fergie, kuna mechi tuliwafunga Arsenal goli 2 karibu timu nzima walicheza mabeki kasoro Rooney na Chicharito. Mechi hiyo Fabio alicheza winger ya kushoto na Rafael akacheza winger ya kulia, unavyoonekana wewe ulivyoiona hiyo game ukawa unasema Fabio amekuwa winger.
Mkuu tactical change za game 1 au 2 usifanye kama Ubelgiji ndio huwa wanacheza hivyo, that was exceptional case. Rom has always been played at center forward position.
Nasisitiza tu kuwa hizi zama ni ngumu sana kudanganya na uongo ukadumu
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mbona hizo picha umegoogle google tu? Hujaangalia world cup wewe? Lukaku amechezeshwa wapi? Siongelei habari za kusadikika naongea kitu ambacho nimekiona kwa macho yangu, mtu mwengine alieangalia world cup atakuja kutusaidia.
KDB alikuwa deployed kama false 9 na Lukaku akapelekwa pembeni.
Mechi ya brazil nakumbuka ilikuwa hivyo
Source
Belgium out-tactic Brazil as Roberto Martinez channels his Everton days
Deploying Romelu Lukaku on the right in a false-nine 4-3-3 formation confused the Brazilian defence that left them with too little time to adaptwww.independent.co.uk
Sent using Jamii Forums mobile app