Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hili suala mbona tulijua mapema tu?

Pale TUMEPIGWA WAZI WAZI.

Uyu Buruno chini ya Ole ligi itamshinda tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tumepigwa, mwambieni Frank aache kulia lia sasa
Screenshot_20200203_122332_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20200203_122458_com.android.chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, lakini kama umenisoma vizuri sina tatizo kubwa na uwezo wake

Ila nina tatizo na kiwango chake kinachochochewa na poor mentality yake,

Kwa hiyo sitashangaa akienda klabu nyingine akang'ara, ila sio 80%-90%

Lakini naheshimu mawazo yako
Sawa... Ila mi kwangu yupo kwenye 80-90...ngoja atulie au aende timu nyingine kama lukaku ndo utamuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya Bruno kuzungukwa na wachezaji wabovu haina uzito Mkuu

Kwani pale Sporting alizungukwa na akina nani?

Man Utd wakiwa kamili, yupo Degea/Romero, Wana Bissaka/Dalot, Shaw/Williams, Lindelof, Tuanzebe, Maguire, Bailly, Tominay/Fredy/Matic, Pogba, Rashford, Martial, Greenwood, James

Summer additions: Madison/Grealish, Sancho/Right winger Grealish na Striker yoyote (hawa tuachane nao)

Labda poor coaching ndio imuangushe. Na hilo benchi la ufundi (likiendelea hivyo) a summer after next summer hatutakuwa nalo
Bruno mchezaji mzuri sana ila imetua timu ambayo sio sahihi. Man kwa sasa inaua vipaji vya wachezaji.

Bruno angetua city, Liverpool, Madrid, Barcelona ingekuwa mahala pake. Wachezaji sahihi wangemzunguka.

Ukiangalia stats za mechi ya kwanza ya bruno aliperfom vizuri sana mbali na ugeni wake EPL na maandalizi kidogo.

Ila sasa matakataka (Martial, james, pereira) anayocheza nayo yataendelea kumuangusha.

Naimani BRUNO ataendelea kufanya vizuri zaidi

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very powerful!!
Hoja ya Bruno kuzungukwa na wachezaji wabovu haina uzito Mkuu

Kwani pale Sporting alizungukwa na akina nani?

Man Utd wakiwa kamili, yupo Degea/Romero, Wana Bissaka/Dalot, Shaw/Williams, Lindelof, Tuanzebe, Maguire, Bailly, Tominay/Fredy/Matic, Pogba, Rashford, Martial, Greenwood, James

Summer additions: Madison/Grealish, Sancho/Right winger Grealish na Striker yoyote (hawa tuachane nao)

Labda poor coaching ndio imuangushe. Na hilo benchi la ufundi (likiendelea hivyo) a summer after next summer hatutakuwa nalo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana uwezo Wa kutengeneza huo mfumo unaousema. Tutaendelea kushambulia kwa kuvizia na ushindi Wa kupwa na kujaa
Hii ni kweli, kabisa.

Simuoni OLE akitengeneza mfumo wa kueleweka zaidi ya Counter-attacks.

Hata hivyo yeye mwenyewe alishasema, kwa sasa,

Mimi hadi sasa, simuamini kama atatufikisha.

Beggars can't be choosers
 
Manchester United in EPL this year

Arsenal 2 Manchester United 0

Manchester United 4 Norwich 0

Liverpool 2 Manchester United 0

Manchester United 0 Burnley 2

Manchester United 0 Wolves 0

4 points out of 15
4 goals scored
6 goals conceded

Our next 5 EPL game

• Chelsea (A)
• Watford (H)
• Everton (A)
• Man City (H)
• Spurs (A)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United in EPL this year

Arsenal 2 Manchester United 0

Manchester United 4 Norwich 0

Liverpool 2 Manchester United 0

Manchester United 0 Burnley 2

Manchester United 0 Wolves 0

5 points out of 15
4 goals scored
6 goals conceded

Our next 5 EPL game

• Chelsea (A)
• Watford (H)
• Everton (A)
• Man City (H)
• Spurs (A)

Sent using Jamii Forums mobile app

4 points out of 15.
 
Back
Top Bottom