Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duh...... Jamaa umenichekeshesha, badala ya kutoa mifano ya mabeki au viungo mahiri waliokuwa hawapitiki (kama Canavaro, Vidic, Terry) unantajia viungo na washanbuliaji kupigwa chenga ukielewa kabisa wao kuzuia sio strength yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mcheki beki wenu mliemchukua kwa milioni 80 mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo from Birmingham city tunaweza msajiri this january na muelekeo wa timu kwasasa vijana very considered

About Bruno, Sporting Lisbon wanam'value £60 wakat kina Matt Judge na kundi lake wanamuona wa £40, kwa mtazamo wangu hili dili linakufa kama kwa Halland

Timu za mpira kwasasa ziwekeze kwenye academy kuliko wakat wowote
Screenshot_20200122-165617.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchukua Champions league sio kigezo cha mafanikio kwenye soka Ronaldo de Lima,Buffon,Bergkamp,Cannavaro,Nistelrooy,Rivaldo,Ballack hawajawahi kuchukua Champions league lakini ni wachezaji waliofanikiwa sana kuliko hata waliochukua Champions League .

Kama Pogba angekuwa yuko against na anayosema Raiola angekuwa tayari kashamfukuza na kutafuta wakala mwingine licha ya drama za Raiola its clear Pogba hataki kucheza tena United na alishasema na sasa sio mtoto tena na ndio maana OGS kaamua kumpa u-captain Maquire

Wapo wachezaji wengi wameshindwa ku-fullfill their potential na wakala wao hakuwa Raiola (Anderson,Ryan Babel,Robinho,Adriano,Alexandre Pato,Ravel Morison,Javier Saviola,Ricardo Quaresma)
Kutochukua champions league ni jambo moja na kuikimbia champions league ni jambo jengine. Na mtu kama De lima ana world cup ambayo ni bora zaidi kuliko champions league pamoja na Huyo Canavaro.

Mkuu nenda kulia Rudi kushoto kupata mafanikio bila Nidhamu ni ngumu na ndio kitu ambacho wachezaji wengi wa Raiola hawana. Muangalie huyu Dogo moise kean miaka kadhaa alikuwa ni prospect kubwa ila sasa hivi kashajazwa sumu ya Raiola ya kutosha ataanza hivi hivi kuhama Club na mwisho wa siku atakuwa baloteli part 2.

Na mtoto umleavyo ndio akuavyo pogba yupo na Raiola toka mdogo japo anaipenda Man U lakini mentality yake imeshaathirika, mwisho wa siku hapo winner ni Raiola anaekula hela ndefu kila usajili na loser ni Pogba mwenyewe ambae kila miaka ikienda potential nayo inaondoka.

Huyu Haaland subiri mwaka wa pili ufike na Hio clause ianze kufanya kazi utasikia ti drama mkuu.
 
Huyu dogo from Birmingham city tunaweza msajiri this january na muelekeo wa timu kwasasa vijana very considered

About Bruno, Sporting Lisbon wanam'value £60 wakat kina Matt Judge na kundi lake wanamuona wa £40, kwa mtazamo wangu hili dili linakufa kama kwa Halland

Timu za mpira kwasasa ziwekeze kwenye academy kuliko wakat wowoteView attachment 1330957

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu za EPL sasa hivi zimegoma kupigwa
 
Hivi mechi ipo saa ngapi?

Maana freebasics inanifanya nisitazame app Kama vile LiveScore na Besoccer.
 
Sidhani England kuna vipaji vya wachezaji kwa sasa labda mabeki,ukiangalia highlight za Youtube hakuna mchezaji mbaya
Factor gani inasababisha England kusiwe na wachezaji wazuri au wasiibuke wachezaji wazuri kwa sasa na nchi nyingine iwe tofauti??

Na ni nchi gani hiyo yenye vipaji sasa tuende tukaokote huko??

Akitokea mchezaji anayeonyesha dalili za kuja kuwa mkali baadae inabidi tupambane tumlete karibu regardless anatokea nchi gani..
 
Wakuu naona sky sport wanasema Tahit Chong ataondoka free kwenda Inter Milan baada ya kuhitilafiana na Ole. Halafu nimesikitika pia kama ni kweli tunamkataa Edson Cavan ambae anataka kuja eti kisa tunataka kunyanyua na kutegemea vitoto zaidi
 
Back
Top Bottom