Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1579727352313.gif
 
HT

Tupo nyuma kwa goli moja

DJ, Pereira, Martial hawastahili kuwa 1st eleven ya Man Utd, labda wawe squad player

Tunakosa ubunifu sehemu ya mwisho ya uwanja, nachoshangaa pamoja na udhaifu huu bado kina Woodward wanasua sua kumleta Bruno, ambaye ata offer goals & assist, kipindi kigumu sana hiki kuwa Man utd fan

Naungana na kina Garry Neville and LVG tatizo la Man utd ni management kule juu, hata aje Pep kwa management ya kina Woodward hatofanya lolote, pia OGS hamna kitu yule, timu no progress

Ila waingereza wapole sana, wamejazana pale OT wanaisapoti timu yao, laiti ingekua ndio Simba Sc tunapata matokeo haya alafu kina MO wakawa wanazingua kuleta watu, tushakinukisha kitambo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uvumilivu umeisha, hii ndiyo mechi ya mwisho kwa OGS. Sitaki tena, nasema simtaki Ole. Simtaki Ed wote hawatuatufai. Hawana maana.
 
Najua process ya kumtoa Edwood ni kazi kuliko OGS kwa sasa acha tuombe tunachokiweza, Ole Guner inatosha kwa sasa ukapumzike tu
 
Back
Top Bottom