Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie mlisokomezewa mbili mlishindwa vip kuwafunga?

Uliangalia mpira kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app

Niliangalia mzee, mlishindwa kuwafanya Arsenal wawe na hofu kuwa wakisogea wanakula.

Mechi yetu na Wao sidhani kama hata timu yetu ilicheza soka la kueleweka hata robo ya soka tulilocheza na Liverpool.

Yet uko Stamford bridge, no auba, no luiz mnazidiwa nguvu.

Basi Arteta yuko vizuri kimbinu.
 
Huyu dogo mrithi sahihi wa De Gea, tokea aende Shiffield kwa mkopo ka'improve a lot
Screenshot_20200122-110600.jpeg
Screenshot_20200122-110607.jpeg
Screenshot_20200122-110614.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So James,AWB,Lindelof,McTominay,Williams,Martial wako kwenye form of life ??? be serious Chief
Why Woodward ambaye alikubali kumpa Sanchez mshahara kufuru na kumpa Raiola agent fee kwenye usajili wa Pogba now anagoma kutoa hizo add ons ?

Pogba alifundishwa na OGS kwenye academy lakini sasa hataki kufundishwa nae kuna factors nyingi za kuangalia kucheza timu na Haaland was right kwenda Dortmund badala ya United kwa sasa tungeanza kumtukana baada ya mechi 5

Mafanikio kwa mchezaji ni kuchukua makombe + fedha ,Nedved (Balon Dior winner) ,Ibrahimovic,Pogba,Matuidi,Maxwell ni miongoni mwa wachezaji waliofanikiwa kwenye soka sijui kwako mafanikio ni nini
Mkuu nimekwambia potential,

Hao uliowataja hawajafikia potential sababu ya raiola, hakuna sehemu niliosema wachezaji wa Raiola ni wabaya. Hebu tuwachambue hao wachezaji uliowataja.

1. Ibrahimovic
Moja ya regret kubwa ya Ibra ni kutokuchukua Champions league, huyu jamaa ameiacha champions league mara mbili, alivyoondoka Inter kwenda barcelona na Alivyoondoka barcelona kwenda Ac milan. Mou alikasirika sana Ibra alivyoondoka lakini kirusi kilikuwa kinafanya mambo yake.

2. Pogba
Hakuna asiemjua pogba mkuu mchezaji mzuri na pengine midfield mwenye kipaji kushinda wote duniani kwa sasa, nani anaefanya kipaji chake kisiwe na consinstency? Nani anaefanya muda wote awe anaongea na vyombo vya habari kutengeneza controversy, Raiola anaplant tabia Njingi alizoplant kwa Baloteli kuliko kumsaidia kupata Consinstency mchezaji wake.

3. Matuidi
Angalau huyu kidogo katulia ila ni mchezaji mzuri ambaye hajagombaniwa sana.

4. Na nedved mkuu ni zama za kale, kipindi hicho sidhani hata kama alikuwa akikulikana sana.

Mkuu de ligt nae anafanya nini sasa hivi? Compare na mwenzake De jong na Van de Beek miaka ijayo utaelewa tu.
 
Tulisema hivi kwa kina Januzaj.

Sent using Jamii Forums mobile app
Just say mkuu januzaj anafanya vizuri Sociedad misimu yote ana ratings nzuri na sasa hivi As roma pia Wanamtaka.

Na januzaj mmoja akifeli haina maana tukae na majonzi na kuanza kuwa negative kwa watoto wa academy, kila januzaj mmoja aliefeli kuna kina Mc tominay, Rashford, Pogba, Dean Henderson, Evans, Joshua King, Michael keane, heaton, brady etc.
 
Kwa kweli man u academy yenu inajitahidi sana
 
Mkuu nimekwambia potential,

Hao uliowataja hawajafikia potential sababu ya raiola, hakuna sehemu niliosema wachezaji wa Raiola ni wabaya. Hebu tuwachambue hao wachezaji uliowataja.

1. Ibrahimovic
Moja ya regret kubwa ya Ibra ni kutokuchukua Champions league, huyu jamaa ameiacha champions league mara mbili, alivyoondoka Inter kwenda barcelona na Alivyoondoka barcelona kwenda Ac milan. Mou alikasirika sana Ibra alivyoondoka lakini kirusi kilikuwa kinafanya mambo yake.

2. Pogba
Hakuna asiemjua pogba mkuu mchezaji mzuri na pengine midfield mwenye kipaji kushinda wote duniani kwa sasa, nani anaefanya kipaji chake kisiwe na consinstency? Nani anaefanya muda wote awe anaongea na vyombo vya habari kutengeneza controversy, Raiola anaplant tabia Njingi alizoplant kwa Baloteli kuliko kumsaidia kupata Consinstency mchezaji wake.

3. Matuidi
Angalau huyu kidogo katulia ila ni mchezaji mzuri ambaye hajagombaniwa sana.

4. Na nedved mkuu ni zama za kale, kipindi hicho sidhani hata kama alikuwa akikulikana sana.

Mkuu de ligt nae anafanya nini sasa hivi? Compare na mwenzake De jong na Van de Beek miaka ijayo utaelewa tu.

Kuchukua Champions league sio kigezo cha mafanikio kwenye soka Ronaldo de Lima,Buffon,Bergkamp,Cannavaro,Nistelrooy,Rivaldo,Ballack hawajawahi kuchukua Champions league lakini ni wachezaji waliofanikiwa sana kuliko hata waliochukua Champions League .

Kama Pogba angekuwa yuko against na anayosema Raiola angekuwa tayari kashamfukuza na kutafuta wakala mwingine licha ya drama za Raiola its clear Pogba hataki kucheza tena United na alishasema na sasa sio mtoto tena na ndio maana OGS kaamua kumpa u-captain Maquire

Wapo wachezaji wengi wameshindwa ku-fullfill their potential na wakala wao hakuwa Raiola (Anderson,Ryan Babel,Robinho,Adriano,Alexandre Pato,Ravel Morison,Javier Saviola,Ricardo Quaresma)
 
Huyu Dean Henderson yupo vizuri sana ndani ya hii misimu miwili nimekuwa nikimfuatilia kamzidi Degea kwa mbali sana kwa sasa. Msimu uliopita alikuwa na clean sheets 21 Championship na alipewa tuzo ya golden gloves, msimu huu ndiye golikipa mwenye clean sheets nyingi premier league anazo 8 nafikiri yupo sambamba na Kasper wa Leicester City.
Ndani ya hii misimu miwili ndiye golikipa mwenye clean sheets nyingi zaidi kuliko yeyote yule English Premier League. Na jamaa ni nguzo muhimu sana ndani ya mafanikio ya Sheffield United ktk hii misimu miwili.
 
Duh...... Jamaa umenichekeshesha, badala ya kutoa mifano ya mabeki au viungo mahiri waliokuwa hawapitiki (kama Canavaro, Vidic, Terry) unantajia viungo na washanbuliaji kupigwa chenga ukielewa kabisa wao kuzuia sio strength yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mcheki beki ghali kuliko wote mlienae pale Old Traford mkuu capitano Maguire ahhaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom