Wakuu naona sky sport wanasema Tahit Chong ataondoka free kwenda Inter Milan baada ya kuhitilafiana na Ole. Halafu nimesikitika pia kama ni kweli tunamkataa Edson Cavan ambae anataka kuja eti kisa tunataka kunyanyua na kutegemea vitoto zaidi
Mcheki beki wenu mliemchukua kwa milioni 80 mkuu View attachment 1330933
Sent using Jamii Forums mobile app
Check Burnley anakupiga leo..Niliangalia mzee, mlishindwa kuwafanya Arsenal wawe na hofu kuwa wakisogea wanakula.
Mechi yetu na Wao sidhani kama hata timu yetu ilicheza soka la kueleweka hata robo ya soka tulilocheza na Liverpool.
Yet uko Stamford bridge, no auba, no luiz mnazidiwa nguvu.
Basi Arteta yuko vizuri kimbinu.


Point tatu mupeleke wapi, ata moja hamupati..Ole aache ujinga tunahitaji 3 points leo
Toa nje daniel james weka mwingine.
Straiker hatuna. Bisaaka analeta cross nzuri wamaliziaji hamna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuongea pumba mkuu..ni dk ya 35 sasa unataka JAMES atolewe..je ungependa nani aingie ANAYEWEZA KURUKA VICHWA!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wangu ARV tafadhali unatumiaga app/web gani ile inaleta results na msimamo kwa pamoja? Naiomba ndugu yangu.