Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,704
- 39,776
Hanibal Mejbri? Bado sana ana miaka kama 16 hivi. Ila yule dogo ni balaa baada ya miaka 2 ama 3 nategemea kuwa 1st eleven.Lakini hii habari ni ya mwaka jana sio ya mwaka huu!!
Ila ningekua Ole wala nisingehaika na akina bruno...
Kamata Gomez, Garner na kuna yule kiungo wa under 23 mwenye manywele marefu flani hivi!!
Hawa ningehakikisha wanapanda first eleven na msimu ndio ningewatumia ipasavyo!!
Na tetesi Gomez amekataa kusign mkataba hivyo huwenda mwisho wa msimu akaondoka.