Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,311
- 46,810
Beki hawahawa mbona ulichomoa kwa mbinde sana OT??View attachment 1324973
Kwa beki hizi zinazopinduliwa hivi mkuu wangu siku hiyo nahisi naweza kukuchapa goli kikapu. [emoji23]
Nina dogo anaroho ya kijerumani left back,Salah jumapili mwambieni tu ajipange,atawekwa mfukoni mapema sana kama Young alivyomfanya mechi zilizopita