Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
✓Guys am sorry..James ni useless,,anacheza kwenye flank na hawezi kudribble hata kumpita beki mmoja,anategemea pace tu..tunahitaji mtu mwingine anayeweza kuoffer vitu vingi zaidi
✓Perreira hawezi kukaa na mpira,hawezi kutoa pass nzuri,,hawezi kuwin back mpira,anachokiweza huyu dogo ni nini??..very very poor
✓Perreira hawezi kukaa na mpira,hawezi kutoa pass nzuri,,hawezi kuwin back mpira,anachokiweza huyu dogo ni nini??..very very poor