Manchester United wanawachezaji wao.Mc cane
Naona chalii yako Erling Haaland kafunga hat trick yake ya kwanza Bundesliga dhidi ya Augsburg.
Ufumbuzi wa Manchester United kurudia makali yake ni Greizzer family kuiuza team tu
Manchester United wanawachezaji wao.Mc cane
Naona chalii yako Erling Haaland kafunga hat trick yake ya kwanza Bundesliga dhidi ya Augsburg.
Iamnelsonblak
Siku ukisikia tumeajiri football executive mpya tunaweza kurudi ktk ubora wetu ila tukiendelea kuwa na huyu Ed tutaendelea kusajili ktk magazeti tu. Jamaa ni bozo!
Mc cane
Naona chalii yako Erling Haaland kafunga hat trick yake ya kwanza Bundesliga dhidi ya Augsburg.
Konaball
Sisi tunamilikiwa na matajiri wasiopenda mpira na wakawaweka washikaji zao wawaendeshee timu kulinda uwekezaji wao. Na kitu kibaya Zaidi hao waliowapa kuendesha timu hawakuwahi kuendesha timu ya mpira mahala popote.
Kipindi tupo on fire kuna watu wenye akili nzuri sana walikuwa wanajua kufanya kazi na kocha walimpa mchezaji anayemtaka kwa wakati hata kwa kufanya umafia. Peter Kenyon na David Gill walijua kufanya kazi yao vizuri, nakumbuka tuliwapokonya watu Dimitar tonge mdomoni. Siku hizi hatuogopeki hata tukienda sokoni kununua wachezaji japokuwa tuna pesa.
Sio kwamba Woodward sio mtu wa mpira bali yeye yuko vizuri kwenye idara ya biashara na masoko kuliko mpira tofauti na Gill na wengine waliopita.Marekebisho ya timu yetu sio makubwa sana ni kuongeza baadhi ya wachezaji na kuuza baadhi.Hivyo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau pia kumtafutia Phil Jones timu huko ChampionshipMimi Mikedean ambaye jumatatu hii ntakuwa ofisini kumkaimu kwa muda Ed woodward pale Man U ntakuwa nakamilisha deal la Cirro Immobile mwamba wa Italy maana tayari nishawasiliana na Rais wa Lazio kuhusu deal.Nitatumia Euro mil.80.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii timu ishajifia.... Inaleta sana hasira mchezaji ambaye asingetucost hata 60 tunamkosa kwa sababu za upumbavu eti mchezaji ndo ang'ang'anie kuja man u ujinga tu hakuna mchezaji anaetaka kucheza man u ya sahizi tuache kujifariji hakuna......
Mchezaji ashindwe kwensda Manchester city, Liverpool, Barcelona, atletico, Juve, bvb, Ajax, Madrid Bayern na PSG eti atake aende man u zaidi ya magalasa ya kiingereza hakuna atakaetaka acheze man u hii timu inatia sana hasira..... Huyo Haland ni kaka ameanza tu bado atakiwasha na usichana WA Ed ataanza kumtaja tena.... sijui hii timu nani ametuloga yani ujinga ujinga tu kwani management yenye akili isiyotumia akili ya kwapa sahizi kikosini tungekuwa na ongezeko la Koulibally, Sancho, Bruno, Haland ila toka summer tunaleta habari za mchezaji ndiyo stung'ang'anie kwa dunia ya sasahivi hii kaeneo ya 21 mchezaji gani atataka acheze man u hii iliyojifia toka 2010
ajabu tunasajili michezaji ya ajabu kweli hii timu sio ya kuwa na midfield inayomtegemea Fred haiwezekani kabisa tutegemee mchezaji leo wamoto kesho wabaridi......
Hii timu imejifia inaumiza ila huo ndio ukweli kuna kipindi nilikuwa ninamzuka sana wa kuangalia game zetu ila imefika kipindi hata nikikosa Mechi naona sawa na hata vibanda umiza ile amsha amsha ya mashabiki wa Man u haipo tena.... Hivi kweli kesho tunaenda Anfield tunategemea kwamba tutashinda kwa counter na kudefend? So uchawi huo inaleta sana hasira hata uwezekano tu wa kushinda hii game ya kesho kwa kuangalia uhalisia hamna na hamna kabisa......
Badala tusajili creative players sisi tunaendekeza swala mawe wanaokimbia dakika zote uwanjani upumbavu tu DNA tuachie mambo ya uzazi dunia ya sasahivi ni aibu sana tena sana hata kujiita timu kubwa timu kubwa inayonolewa na Ole? Ole ana CV gani ya kuifundisha hii timu na kuirudisha juu? msimtaje Frank ambaye ameirithi Chelsea ambayo imetola twaa Europa.... yan unamtegemea mtu kama ole atengeneze tactics za kuirudisha timu juu kama sio ujinga ni nini....kama mtu alishinda hata iweka Cardiff nafasi ya 16 isishuke daraja anakipi cha kuifanya man u Ishike namba 1.....
Yani nimeangalia game ya Dortmund roho imeuma sana kuona Dortmund wanaumanchester kuliko sisi Manchester wenyewe na bado hii hali haitaisha leo au kesho.....hatuwezi maliza top 4 hata misimu 3 ijayo kaa mwenendo huu tukutane 2023 hatutakuwa tumecheza UEFA hata mara moja hadi huo muda.... muda ni shahidi tosha......
Yani inaleta hasira huyo Bruno summer alikuwa na release ya 35 sahizi tunaenda kulipa zaidi ya 60 sijui ameturoga nani, sijui tumeyasaliti mashetani hata sijui mwenzako yupo top 2 anafukuza kocha wewe haupo nafasi ya UEFA unasema tunafanya rebuild....labda sijui maana ya timu kubwa ila rebuild haitakiwi timu kubwa timu kubwa unatakiwa kocha adeliver mambo makubwa na huyo solskjaer ndo mnafiki kweli na hana formation yoyote na tactical hana tofauti na mexime hana lolote....mpaka sahizi mtu anamwaka ila Manchester inacheza atuoe gani hata haieleweki....inaumiza kujua hata mwakani uwezekano wa UEFA haupo acha kombe UEFA tu haipo...kama ole alishindwa kutupeleka UEFA msimu uliopita mpaka anaondoka hatutakuja kucheza Uefa

Hata Maguire kipindi mourinho anamuhitaji alikua cheap lakini wakabana na wakaja kumnunua bei ikiwa imepanda!Yani inaleta hasira huyo Bruno summer alikuwa na release ya 35 sahizi tunaenda kulipa zaidi ya 60 sijui ameturoga nani,
Watakuja wafia timu watakupinga.......Well said Mkuu....Unakuta radika na Mc cane mishipa inawasimama kwa kuitetea Manchester United hii AIBU SANA.Hii timu ishajifia.... Inaleta sana hasira mchezaji ambaye asingetucost hata 60 tunamkosa kwa sababu za upumbavu eti mchezaji ndo ang'ang'anie kuja man u ujinga tu hakuna mchezaji anaetaka kucheza man u ya sahizi tuache kujifariji hakuna......
Mchezaji ashindwe kwensda Manchester city, Liverpool, Barcelona, atletico, Juve, bvb, Ajax, Madrid Bayern na PSG eti atake aende man u zaidi ya magalasa ya kiingereza hakuna atakaetaka acheze man u hii timu inatia sana hasira..... Huyo Haland ni kaka ameanza tu bado atakiwasha na usichana WA Ed ataanza kumtaja tena.... sijui hii timu nani ametuloga yani ujinga ujinga tu kwani management yenye akili isiyotumia akili ya kwapa sahizi kikosini tungekuwa na ongezeko la Koulibally, Sancho, Bruno, Haland ila toka summer tunaleta habari za mchezaji ndiyo stung'ang'anie kwa dunia ya sasahivi hii kaeneo ya 21 mchezaji gani atataka acheze man u hii iliyojifia toka 2010
ajabu tunasajili michezaji ya ajabu kweli hii timu sio ya kuwa na midfield inayomtegemea Fred haiwezekani kabisa tutegemee mchezaji leo wamoto kesho wabaridi......
Hii timu imejifia inaumiza ila huo ndio ukweli kuna kipindi nilikuwa ninamzuka sana wa kuangalia game zetu ila imefika kipindi hata nikikosa Mechi naona sawa na hata vibanda umiza ile amsha amsha ya mashabiki wa Man u haipo tena.... Hivi kweli kesho tunaenda Anfield tunategemea kwamba tutashinda kwa counter na kudefend? So uchawi huo inaleta sana hasira hata uwezekano tu wa kushinda hii game ya kesho kwa kuangalia uhalisia hamna na hamna kabisa......
Badala tusajili creative players sisi tunaendekeza swala mawe wanaokimbia dakika zote uwanjani upumbavu tu DNA tuachie mambo ya uzazi dunia ya sasahivi ni aibu sana tena sana hata kujiita timu kubwa timu kubwa inayonolewa na Ole? Ole ana CV gani ya kuifundisha hii timu na kuirudisha juu? msimtaje Frank ambaye ameirithi Chelsea ambayo imetola twaa Europa.... yan unamtegemea mtu kama ole atengeneze tactics za kuirudisha timu juu kama sio ujinga ni nini....kama mtu alishinda hata iweka Cardiff nafasi ya 16 isishuke daraja anakipi cha kuifanya man u Ishike namba 1.....
Yani nimeangalia game ya Dortmund roho imeuma sana kuona Dortmund wanaumanchester kuliko sisi Manchester wenyewe na bado hii hali haitaisha leo au kesho.....hatuwezi maliza top 4 hata misimu 3 ijayo kaa mwenendo huu tukutane 2023 hatutakuwa tumecheza UEFA hata mara moja hadi huo muda.... muda ni shahidi tosha......
Yani inaleta hasira huyo Bruno summer alikuwa na release ya 35 sahizi tunaenda kulipa zaidi ya 60 sijui ameturoga nani, sijui tumeyasaliti mashetani hata sijui mwenzako yupo top 2 anafukuza kocha wewe haupo nafasi ya UEFA unasema tunafanya rebuild....labda sijui maana ya timu kubwa ila rebuild haitakiwi timu kubwa timu kubwa unatakiwa kocha adeliver mambo makubwa na huyo solskjaer ndo mnafiki kweli na hana formation yoyote na tactical hana tofauti na mexime hana lolote....mpaka sahizi mtu anamwaka ila Manchester inacheza atuoe gani hata haieleweki....inaumiza kujua hata mwakani uwezekano wa UEFA haupo acha kombe UEFA tu haipo...kama ole alishindwa kutupeleka UEFA msimu uliopita mpaka anaondoka hatutakuja kucheza Uefa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu japo mashabiki wengi wa Man United wanaomba Liverpool asichukue ubingwa mimi nakwambia Liverpool kuchukua ubingwa hata mara 2 mfululizo kunaweza waamsha watu kuwa manchester united sio timu kubwa uingereza tena
Hajaonewa mkuu ni lazima mpira uache mstari ndio liwe goli, ukigusa hata nukta tu sio goliWakuu leo Tottenham kama kaonewa na VAR au nyie mnaonaje, si goli hili?View attachment 1326835
Sent using Jamii Forums mobile app
Tema nyongo,tema nyongo mzeeHii timu ishajifia.... Inaleta sana hasira mchezaji ambaye asingetucost hata 60 tunamkosa kwa sababu za upumbavu eti mchezaji ndo ang'ang'anie kuja man u ujinga tu hakuna mchezaji anaetaka kucheza man u ya sahizi tuache kujifariji hakuna......