Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aisee goli mbili zmekataliwa hafu unasema tunabebwa

Kubali timu yako ni mbovu shida iko wapi haswa aisee.
Mbona mnakua wajinga hivi

Like not mtu unayefuatilia mpira mtu wangu wa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa kwanza motive yangu ni nini mkuu.ile faulo.aliyofanya van dyke ipo wazi mno hata yeye mwenyewe reaction yake tu alijua ni faulo iweje refa aliacha???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni Shaw kajitahid aise
Yaani tunachomis ni viungo/kiungo mbunifu wa kupiga dangerous pass kwa kina Martial, Liverpool wa kawaida sana sielewi kwann wanaongoza ligi, nafikiri Sir Alex uko alipo anaweza fikiria kurudisha majeshi vitani (natamani Sir Alex arudi japo misimu mitatu tu)
Please Woodward izinisha usajiri wa viungo wawili wabunifu tu, then ndio tuanze kumlaumu huyu OGS
Leo endapo angekuwepo Pogba, Scot na Rashfod Liverpool wasingeamini kingechotekea
Martial kule mbele ana uchu sana ila mipira nadra kumfikia, mpaka namuonea huruma

Tunaitaji viungo wanyumburifu kama Schoses, kama Super Gigs

Hivi kina Glazer na Woodward hawaoni sisi tunachoona kweli?

Hii HT Ole amtoe Luke Shwa aingie fundi Juan Mata

Hii HT Ole amtoe Luke Shaw aingie fundi Juan Mata

Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi kwanini wanaongoza league? Tena kwa tofauti ya mapoints kedekede. hao wazuri ni kina nani sasa na mbona hawaongozi hiyo league? Toaga compliment mzee,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani tunachomis ni viungo/kiungo mbunifu wa kupiga dangerous pass kwa kina Martial, Liverpool wa kawaida sana sielewi kwann wanaongoza ligi, nafikiri Sir Alex uko alipo anaweza fikiria kurudisha majeshi vitani (natamani Sir Alex arudi japo misimu mitatu tu)
Please Woodward izinisha usajiri wa viungo wawili wabunifu tu, then ndio tuanze kumlaumu huyu OGS
Leo endapo angekuwepo Pogba, Scot na Rashfod Liverpool wasingeamini kingechotekea
Martial kule mbele ana uchu sana ila mipira nadra kumfikia, mpaka namuonea huruma

Tunaitaji viungo wanyumburifu kama Schoses, kama Super Gigs

Hivi kina Glazer na Woodward hawaoni sisi tunachoona kweli?

Hii HT Ole amtoe Luke Shaw aingie fundi Juan Mata

Sent using Jamii Forums mobile app
Scott na Rashy waliwapa points ngapi tulipokuja hapo kwenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii timu ukimwambia mtu kuwa kwanini dakika hizi 50 hatujapiga pasi 6 sahihi anaweza akabisha ila ndo ukweli hatuwezi piga pasi hata 3 zenye uhakika alafu unaanza sema kocha anafanya rebuild yani angekuwa van gal hii game hata droo tungepata

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimemkumbuka sana yule babu LVG

LVG aliojiwa akasema tatizo la utd ina viongozi sio wanamichezo/sio watu wa mpira kama uongozi wa timu kama bayern, barca, juve, etc
Akaongeza akasema kama yule woodward kasomea Banking, hajui chochote kuhusu footbal
Kina Glazer wanangalia faida tu na sio matokeo

Hapa wife ananiambia upendo naoipenda utd niuamishie kwake, namuona ana point ya msingi kwa kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom