Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

No. Kipaumbele changu sio striker (pekee), kipaumbele changu ni striker na kiungo mshambuliaji/creator

Mfano Pogba angekuwa anataka kuendelea kuwepo United angalau tungehitaji kiungo mtengenezaji 1, nimesema angalau. Sio timu nyingi duniani zenye viungo wazuri kama Fred, Matic na Scoty katika timu zao. Kwahiyo angalau tungempata mtu kama Fernandes B akisaidiana na Pogba kikosini (katika squad) tungeweza kuwa pazuri kwenye suala la creativity.

Upande wa mbele tungeweza kupata striker, na striker mzuri ambaye alikuwa available ni huyo dogo Haaland.
Sasa imagine tungemsajili Haaland halafu kabla ya January mwishoni tuwe tumemleta Bruno, timu ingekuwa katika hali nzuri kiasi gani

Hivi itokee Martial aumie sasa hivi hata mwezi tutakuwa kwenye hali gani kule mbele, maana huyo Rashy nimesikia atakuwa nje for few weeks

hapo inategemea kipaombele cha mwalimu husika, dirisha lililopita mwalimu aliamua kuingia sokoni kwa lengo la kuimarisha safu ya ulinzi na alitumia takribani paundi millioni 130 kwa wachezaji wawili (wan bissaka na maguire), kwake aliamini eneo linalotusumbua zaidi ni ulinzi huku akijibebesha matumani viungo wake (pogba, perreira, lingard, fred) watazidi kuimarika

ukiniuliza mimi kipaombele changu cha kwanza itakuwa ni viungo wachezeshaji japo wawili pamoja na winga, kiupande wangu naliona tatizo kwenye maeneo hayo

nikikuuliza wewe huenda kipaombele chako utaniambia tatizo letu kubwa tunalopaswa kulitatua ni striker mfano wa haaland ndipo tuangalie nafasi nyenginezo.

mwenye maamuzi ya mwisho anabaki kuwa ni mwalimu husika na ndiye anayefahamu hali ya kifedha iliopo klabuni.

huwezi jua pengine ole alimuhitaji haaland na hata bruno fernandez lakini tatizo ni hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahitaji RW(Proper right winger au mshambuliaji wa kutokea kulia),,Tunahitaji Kiungo mchezachaji(x2) given pogba is leaving,,Tunahitaji Kiungo mkabaji,,Tunahitaji deadly straiker..Tofauti na hapo hakuna tutakachokifanya zaidi za kuzurura nafasi ya saba na ya nane huko..
kwa huu mwenendo wetu kwenye soko la usajili itatuchukua miaka miwili kusajili nafasi hizo.
 
Yaani ni kituko

Midfield ni engine ya timu yoyote duniani

Hata beki iwe bora vipi, kama midfield ni mbovu beki itaonekana haina uwezo
Sijawahi kuwa na imani na martial mzembe sana halafu timu inashida sana eneo kiungo naonaga makocha wengi huwa wanaanza kujenga kiungo na mabek hii timu na uongozi sijui wanawaza nini yaani lingard na perreira wanaweza kuwa wabunifu wetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole anastahili lawama kubwa.

Mosi anaridhika na kikosi chake wakati ni wazi tunahitaji 3 classic players.

Pili Jose asingekubali huu upuuzi wa kumtetea CEO kwa uzembe na angesema hadharani.

Tatu RW ni tatizo la muda mrefu sana sijui kwanini tangu Moyes hadi sasa bado tuna sua sua

Nne Ilikuwa ni ujinga wa kiwango cha SGR kubadili kocha kila mara.Matokeo yake kila tukibadili kocha tunaanza upya kuanzia mfumo na aina ya wachezaji kwaajili ya mfumo mpya.

Tano Pogba ni mchezaji mzuri sana lakini kama anataka kuondoka nadhani ni vyema akaachiwa aondoke mapema.Sioni mantiki ya kuendelea na Pogba wakati wapo wachezaji wengine wengi tungeweza kuwa nunua kwa fedha za mauzo yake.

Mwisho nadhani tuendelee na hii project ya Ole labda tunaweza kufurukuta mwakani hasa tukizingatia aina ya wachezaji alionunua wote wako vizuri pia kiwango cha Fred kimepanda kipindi chake.

Tusikate tamaa msimu huu ni Liverpool hilo halina mjadala tena.

Mashabiki kindaki ndaki wa Man tuendelee ku support team yetu.

Kuna siku utakubali tulivyolalamika 2018 again nakukumbusha tena licha ya matatizo ya wachezaji OGS sio kocha wa kubadilisha chochote kwenye hii timu.Anafanya makosa makubwa na mengi sana Pogba & Rashford walikuwa na majeruhi lakini akawachezesha kwenye mechi zisizo na ulazima matokeo yake wataendelea kuwa nje kwa muda mrefu
 
Funy, jamaa wanafurahia kuifunga one of the weakest Man Utd in many years.... The weakest team without their 3 best players

Funny Klop aliponda Man Utd ku defend deep na kufanya counter attack, kitu alichofanya yeye hususani kwenye goli la pili

Funny Klop aliwahi kusema itakapofika wakati anatakiwa kununua mchezaji kwa pound milioni 70,80.....100 ataachana na soka kabisa (wakati Pogba amenunukiwa), Baada ya mwaka akamnunua VVD, beki kwa kiasi cha kuvunja rekodi

Maisha bila unafiki yanawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nyie binadamu wa ajabu sana. Mngeshinda mngesema timu pekee hamjafungwa na Liver, mngeongea mpaka midomo ikae upande, Liver wameshinda mnasema mnashangilia kuifunga the weak Manchester. Sasa mlikuwa mnataka tusinmshangilie bali tulie ama? Kama ni dhaifu mlitaka tusiifunge ili mseme tumewashimdwa au??

Shughuli ya vvd si umeiona lakini?au na ww unajifanya huioni
 
Shughuli ya vvd si umeiona lakini?au na ww unajifanya huioni
Maguire anam-mark VVD kwenye Corner na kashindwa kumzuia kufunga. alafu anakuja na hoja tunafurahia kuifunga machester dhaifu. Sasa sjui wao walivyokuwa wanatufunga kipindi cha kina Borini, Lambert, Ballo etc walikuwa wakilia badala ya kushangilia ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitashangaa politician Ed na bodi wiki ijayo wakishusha usajili ili kuwa appease mashabiki

Mara ya mwisho, OT tukiwa tunaongoza 4 - 0 dhidi ya Norwich mashabiki wa Jukwaa la Stretford End walimdisi Ed na Glazer

Walimdisi tukiwa tunaongoza 4 - 0,sio kwamba tumefungwa, mnaweza ku imagine mashabiki walivyowachoka na jinsi hierarchy ya Man Utd itakavyokuwa desperate kuwapoza mashabiki

Hiyo ndio siasa kwenye soka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie shangilieni kwa raha zenu, na sisi tunaongea kwa raha zetu Mkuu

Ila ukweli unabaki pale pale and you know that the team you beat is one of the weakest United team you ever play against
Yani nyie binadamu wa ajabu sana. Mngeshinda mngesema timu pekee hamjafungwa na Liver, mngeongea mpaka midomo ikae upande, Liver wameshinda mnasema mnashangilia kuifunga the weak Manchester. Sasa mlikuwa mnataka tusinmshangilie bali tulie ama? Kama ni dhaifu mlitaka tusiifunge ili mseme tumewashimdwa au??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maguire alim mark VVD? Mimi Nimeona Williams ndio aliyem mark VVD, sema baada ya kona kupigwa ndio Maguire akafuata mpira
Maguire anam-mark VVD kwenye Corner na kashindwa kumzuia kufunga. alafu anakuja na hoja tunafurahia kuifunga machester dhaifu. Sasa sjui wao walivyokuwa wanatufunga kipindi cha kina Borini, Lambert, Ballo etc walikuwa wakilia badala ya kushangilia ama?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie shangilieni kwa raha zenu, na sisi tunaongea kwa raha zetu Mkuu

Ila ukweli unabaki pale pale and you know that the team you beat is one of the weakest United team you ever play against

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa km ni dhaifu si mjitoe kwenye ligi mpk mtakapokua strong ndio mrudi.waachieni wapambanaji Watford hio nafasi
 
Maguire anam-mark VVD kwenye Corner na kashindwa kumzuia kufunga. alafu anakuja na hoja tunafurahia kuifunga machester dhaifu. Sasa sjui wao walivyokuwa wanatufunga kipindi cha kina Borini, Lambert, Ballo etc walikuwa wakilia badala ya kushangilia ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maguire hajam-mark VVD kwenye ile kona ya goal, dogo Williams na Fred ndio walikua karibu.

In the end VVD alipiga free header.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom