OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Hahaha nijinyonge kisa hichi kikundi cha wanywa gongoMkuu hivi leo ikitokea man u ikashinda Nadhani utajisikia vibaya Sana kuliko hata washabika wa Liverpool, au wa man u ikifungwa.
Maana huwa upata furaha sana Man U ikifungwa,kuliko Chelsea ikishinda [emoji1787]
Angalizo: Kama ikitokea usije ukafikia uamuzi wa kujinyonga tu..
Sent using my Audi A6 [emoji593]2017 model
Haha piga mbuzi hao Man u[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app