Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,536
- 3,883
ila mkuu toka lvg aje 2014 mwaka wa 6 huu na zaidi ya mechi 12 hawa jamaa wametufunga mara 1 tu tena kipindi kile tuna mgogoro wa Mou, mechi kama 12 draw ndio wanashangilia, misimu miwili mfululizo tuliwapiga nje ndani.teh teh
ukimkuta mshabiki wa man utd anajisifia kuwa bora mbele ya liverpool kwa kigezo cha head to head msimu huu basi mpuuzie..
ni sawa sawa na mtu anayesifia kuongezeka kwa pato la taifa lisiloleta satisfaction yeyote kwa raia wa kawaida.
uchumi umepanda kwa asilimia 10
shaw na williams? kuna mtu anacheza winga leo?
Hata mimi sielewi nasubiri mechi ianze nijioneeshaw na williams? kuna mtu anacheza winga leo?
shaw na williams? kuna mtu anacheza winga leo?
Naisevu hii Comment saa 3 ntakukumbusha hauna kikosi cha kumfunga LIVERPOOL narudia hauna hicho kikosi tena ANFIELDila mkuu toka lvg aje 2014 mwaka wa 6 huu na zaidi ya mechi 12 hawa jamaa wametufunga mara 1 tu tena kipindi kile tuna mgogoro wa Mou, mechi kama 12 draw ndio wanashangilia, misimu miwili mfululizo tuliwapiga nje ndani.
HahahahahahahahahNaisevu hii Comment saa 3 ntakukumbusha hauna kikosi cha kumfunga LIVERPOOL narudia hauna hicho kikosi tena ANFIELD
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza dharau mkuu mpira dk 90Naisevu hii Comment saa 3 ntakukumbusha hauna kikosi cha kumfunga LIVERPOOL narudia hauna hicho kikosi tena ANFIELD
Sent using Jamii Forums mobile app
⚽⚽⚽Naisevu hii Comment saa 3 ntakukumbusha hauna kikosi cha kumfunga LIVERPOOL narudia hauna hicho kikosi tena ANFIELD
Sent using Jamii Forums mobile app
SINA SHIDA NA BEKI NA KIUNGO, SHIDA IKO KWENYE WAFUNGAJI, HAKUNA MTU ANAWEZA KUIFUNGA LIVERPOOL HAPO. TUTAPATA SHIDA TU, RASHFORD YUKO SHARP, HUYO MARTIAL MZITO AKILI NZITO SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuna pressure bcoz we have nothing to loose, leo utd tukifungwa dunia haishtuki bcoz tuwabovu, nyie mpo bora mara mbili yetu inapaswa kuonyesha dunia matokea ya awali OT mliteleza kugawana point na sisi, leo hapo tunakuja kukuaribia na kuweka heshima tu na kama ikatokea tumepoteza basiTunataka cleansheet.
Ila kadri muda unavyokaribia pressure inanijia, maana last time nilikuja na matokeo yangu OT, dah noma sana.
Yaani leo hata sielewi Ole anataka kufanya nin, ebu tusubirishaw na williams? kuna mtu anacheza winga leo?