Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inaonekana hatuna namna nyingine ya kufunga zaidi ya counter-attack, ambazo Arsenal amefanikiwa kuzuia.
 
hii game Arteta kawaweza! kikosi alichoanza nacho ndio anatakiwa awe anakipanga

watoto awaingize baada ya kazi kukamilika kama anavyofanya dhidi ya manyumbu fc
 
Back
Top Bottom