Manchester United (Red Devils) | Special Thread

TUMEPATA PIGO BAYA SANA KWA KUONDOKA POGBA...TIMU SASA INA WACHEZAJI WA KAWAIIIDAAA KAMA ARSENAL, HATUNA MTU WA MAANA PALE KATI.POGBA KUWEPO TU KWENYE FIRST ELEVEN TIMU PINZANI HAWAKAI KWA RAHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama yeye hataki kubaki OT unadhani sisi tufanyaje??..piga bei,leta chuma nyingine..simple mathematics
 
Mkuu ukitoka magoli ya penati Pogba hajafikisha hata goli 7

Kwenye assists ana jitahidi, lakini bado ameachwa mbali na akina Madison na Ericksen

Hapo sijaongelea viungo wa pembeni waliomzidi assists

Kwa KDB hastahili hata bench, yaani mbadala wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata penalty ni magoli imagine angekuwa fit na penalty wanazokosa msimu huu tungepata leo tusingekuwa tunaongelea habari za Top 4.

Goli 13 kwa midfield ni nyingi na hio ni ligi tu ukihesabu mashindano yote anazidi.

Na ukumbuke anafunga hizo goli na assist kama Deep lying plamaker pembeni ya DM, akipewa role ya mbele huwa anafanya vizuri zaidi.

Pia kuna aspect nyengine za Pogba ambazo midfield wengi EPL hawana kama.
1. Aerial prowess- jamaa yupo vizuri kwenye vichwa kuokoa na hata kushambulia
2. Long pass - anapiga pasi ndefu kwa umakini sana na japo anapiga pasi ndefu nyingi ana accuracy kubwa ya Pasi kuliko Ericksen
3. Dribling- kuchukua kijiji kwa pogba ni kawaida.

Kifupi mkuu msimu uliopita ni Hazard pekee aliewin point nyingi (point 20) kuliko pogba (point 19) katika ligi ya uingereza.

Na kuanzia Epl wenyewe, mpaka source za nje kama Whoscored wamemuweka Pogba kwenye kikosi bora cha msimu. Na si KDB wala Ericksen.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Mkuu kwanza nimeshangaa unavyosema penati tunazo kosa angekuwepo Pogba angepigwa na tungefunga, hivi mkuu umesahau kwamba Pogba ni kati ya wapiga penati wabovu United, na amekuwa akipewa hilo jukumu sababu ya jina lake tu. Pogba ameahatukosesha points nyingi sana sababu ya kukosa penati

Ngoja nicheki game kwanza
Hata penalty ni magoli imagine angekuwa fit na penalty wanazokosa msimu huu tungepata leo tusingekuwa tunaongelea habari za Top 4.

Goli 13 kwa midfield ni nyingi na hio ni ligi tu ukihesabu mashindano yote anazidi.

Na ukumbuke anafunga hizo goli na assist kama Deep lying plamaker pembeni ya DM, akipewa role ya mbele huwa anafanya vizuri zaidi.

Pia kuna aspect nyengine za Pogba ambazo midfield wengi EPL hawana kama.
1. Aerial prowess- jamaa yupo vizuri kwenye vichwa kuokoa na hata kushambulia
2. Long pass - anapiga pasi ndefu kwa umakini sana na japo anapiga pasi ndefu nyingi ana accuracy kubwa ya Pasi kuliko Ericksen
3. Dribling- kuchukua kijiji kwa pogba ni kawaida.

Kifupi mkuu msimu uliopita ni Hazard pekee aliewin point nyingi (point 20) kuliko pogba (point 19) katika ligi ya uingereza.

Na kuanzia Epl wenyewe, mpaka source za nje kama Whoscored wamemuweka Pogba kwenye kikosi bora cha msimu. Na si KDB wala Ericksen.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata penalty ni magoli imagine angekuwa fit na penalty wanazokosa msimu huu tungepata leo tusingekuwa tunaongelea habari za Top 4.

Goli 13 kwa midfield ni nyingi na hio ni ligi tu ukihesabu mashindano yote anazidi.

Na ukumbuke anafunga hizo goli na assist kama Deep lying plamaker pembeni ya DM, akipewa role ya mbele huwa anafanya vizuri zaidi.

Pia kuna aspect nyengine za Pogba ambazo midfield wengi EPL hawana kama.
1. Aerial prowess- jamaa yupo vizuri kwenye vichwa kuokoa na hata kushambulia
2. Long pass - anapiga pasi ndefu kwa umakini sana na japo anapiga pasi ndefu nyingi ana accuracy kubwa ya Pasi kuliko Ericksen
3. Dribling- kuchukua kijiji kwa pogba ni kawaida.

Kifupi mkuu msimu uliopita ni Hazard pekee aliewin point nyingi (point 20) kuliko pogba (point 19) katika ligi ya uingereza.

Na kuanzia Epl wenyewe, mpaka source za nje kama Whoscored wamemuweka Pogba kwenye kikosi bora cha msimu. Na si KDB wala Ericksen.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mi mwenyewe nakubali pogba ni mchezaj mzur ila ujeur kazidi anaharibu umakini kwa wenzie
 
Back
Top Bottom