sojobizzy
Senior Member
- Oct 18, 2016
- 130
- 153
Kwa lipi sasa unamfukuza kocha??? ole anafanya poa sana timu ilishapoteza utamaduni wake si rahisi kurudi kama kuchota maji mtoni kuna cream ya players itapita sana had kupata timu sahihi unaweza kukuta had timu isimame anaweza kubak kipa tuSisi Mashabiki kindakindaki wa Mwantesa Utd tunaomba Ole Sendeka aongezewe mkataba wa kudumu maana tunaupiga mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwai kusema baadhi ya mashabiki wa hii timu nivichaa mmojawapo baada ya kushinda game mbili eti hawazi tena top four bali hata kupambana ubingwa wanaweza. Akili za hovyo kabisaHaya sio mawazo yakibingwa nimawazo ya kichaa yaani uwazie ubingwa?? Kwa kushinda mech mbili..... nyie mashabiki wa hii timu kazi mnayo
Sijajua labda OGS kuna kitu anakionaga mazoezini...Aisee sijui hii kocha hajui kama huyu mtu hana takwimu nzur kitu nashangaa sana fikiria mtu kama lalana,keita na orig wanaanzia bench bado wanagoli nyingi kushinda lingard ambae kila mech lazima acheze
lakini hakionekan kwenye mechiPale lazima kupata mshambuliaji na kiungo lasivyo atajidanganyahuyu ole anawafaraji tu anapiga hatua mbili mbele moja nyuma safari ngumu sana hatutoboi top 4 hata 6 mashaka kama hajaleta midfielder hii january
Sent from my SM-G950U using Tapatalk
Raiola yuko sahihi 100%,
Sent using simu mbovu
Mkuu umeongea, juzi tuliona Lampard aligundua Emerson anazingua akamtoa mapema kabisa akaingia Georginho mpira ukabadilika na wakashinda.Wakati mwingine Ole huwa simsomi ni kwamba anakosa uwezo wa kusoma mechi na kufanya mabadiliko haraka au inakuwaje?
Game tangu imeanza ilishaonekana leo tumezidiwa cha ajabu yupo tu kakunja nne.
Ngoja nilale kesho ntapata matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua labda OGS kuna kitu anakionaga mazoezini...![]()
lakini hakionekan kwenye mechi
Sent using Jamii Forums mobile app




uzawa tu hamna kitu mambo kama haya yanawafanya wakina pogba wanagoma kucheza alipiga shut kwa kipa akadaka mech ya city tu tokea hapo sijuiMkishinda vimechi 2 mnajisahaulisha kila kitu,mkipigwa mechi 1 tu mnaanza lawama.
Hata mata ni bora mbele ya lingard kwa mech ya leo dakika alizocheza chache kipiga key pas moja tumepata na foul ambayo fred katungua mnaziMfate huyo Raiola, maana naona ingekuwa kuna timu inaitwa Pogba baadhi yenu mngekuwa Pogba/Raiola Fc
Pogba boya tu kama maboya wengine, tuna majeruhi ya kutosha halafu yeye ndio anazingua
Akina Xaka, Kolasinic, Kostas wote hawakuwa fiti 100% lakini wamecheza, halafu boya mmoja anaitwa Pogba anajiona star hawezi kucheza kuipambania timu
Arsenal leo wametuzidi kwenye kiungo, angekuwepo Tominay wasingetawala game, first half
OGS naye ana share ya makosa, how anaanza Lingard mbele ya Pereira kwa form zao kwa sasa
Makosa mengine ya OGS ni ya siku za nyuma, alishindwaje kusajili midfielders wakati Fellaini na Herrera wameondoka. Angesajili kiungo tusingekuwa tunategemea Pogba kwa kiwango hiki
Very poor first half
Sent using Jamii Forums mobile app
HakuepoJuzi alishinda kocha alikuepo
leo, hakuna kocha hapo
Juzi hapa alikuwa anamwagiwa sifa kedekede. Leo kageuka kuwa mbaya.Mkishinda vimechi 2 mnajisahaulisha kila kitu,mkipigwa mechi 1 tu mnaanza lawama.
Kafukue nyuzi za liverpool za mwaka 2016/2017 /2018 uone kama hamna lawama 2019 ndo mmeonja raha ya makomne basi mnajidai hamjui lawamaMkishinda vimechi 2 mnajisahaulisha kila kitu,mkipigwa mechi 1 tu mnaanza lawama.