Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha alikuwa Klopp? Au hukuelewa aliposema Klopp hajawahi mfunga OGS na Ancelot?
Hivyo, Liverpool mmeshawahi kumfunga Ancelot, lakini Liverpool chini ya Klopp hamjafanya hivyo.

Nimekuwekea screenshot ya quotes zetu, niambie hicho unachoandika umekitoa wapi.

Screenshot_20200101-125040_Chrome.jpg
 
Tatizo apo sio raiola , pogba anashindwa nn kumdhibiti mtu ambeye anamlipa yy mshahara ?

Kikawaida wakala n kisemeo cha mchezaji , na kama mchezaji angekuwa hataki huu ujinga basi usingeona mino anaropoka kijinga.

Mbona Mikh hakukuwa na uropokaji kama huu ?

Shida uyu mwenzetu uswahili bado umemjaaa, kwan pogba hajui taratibu za kuvunja mkataba aondoke kwa amani pale united ?
 
Ni kweli man u inaua vipaji

Depay
Sanchez
Lukaku
Herera
Mikitarian
Falcao
Matic
Pogba
Smalling



Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiondoa lukaku hapo hao wengine miguu yao imekatika ama? Mana huko waliko nilitegemea wangeshine sana. Herrera wote tuliumia kuondoka kwake na aliondoka akiwa bado ni msaada sana na passion ya hali ya juu kwa timu. Huo ulikuwa ni ijuha ambao hadi Leo sielewagi ole ana nini kichani kwake. Hao wengine wote ni kama wamepotea tu,ukiondoa Smalling ambae anacheza vilevile tu ila kule aliko ana uhakika Wa namba panga pangua. Lukaku mwenyewe hajabadilika kivile kama watu wanavyoamini kwa sababu pamoja na kufunga bado nafasi anazokosa magoli ni nyingi zaidi kitu ambacho kwa namba 9 ni tatizo kubwa. Watu wanaona kabadilika kwa sababu wanasikia tu na kuona kwenye live score lukaku kafunga ila ukifatilia mechi hizo jamaa huwa anapoteza nafasi sana
 
Nachohofia anaweza ambukiza dressing room yakatokea yale ya Mou, dawa ni kumuuza ikiwezana this january ila hela tunayotaka sidhan kama kuna club itaweza kukubali (120 pounds mil)

Huyu ni wa 40 pound mil, Mou na Raiola walitupiga hapa
Ni heri OGS akasajiri wachezaji wa 15pound mil aina ya DJ wenye spirit

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, ila nimecheka sana#40£mil
 
Kabisa, ila nimecheka sana#40£mil
Huyu ni wa 40 pound mil, tulipigwa hapa
Sasa kama kirusi ni wa 120 pound mil na KDB atakua wa pesa ngapi?
Ila namshangaa sana kirusi, anajiaribia career yake, hata kama anataka kusepa ilipaswa awe na nidhamu na amkanye wakala wake akae kimya, timu gan kubwa itakubali ku'risk pesa nyingi ivyo kwa mchezaji mtovu wa nidhamu, si madrid wala barca wala bayern, ndio maana zidane hata hamshobokei, madrid wanaenda kuvunja bank kwa mbape mtambo wa magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real talk watu wengine wanaongeaga vitu kama hawana vichwa juu ya Mabega daaah kanikera kima huyu
Hii comment yako ipeleke kwenye uzi wa Spurs..uta-make sense zaidi..

Kuiweka hapa ni kuonyesha ni kiasi gani wewe ni mnafki..

Hama timu umfwate huyo Mourinho wako hukohuko spurs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli man u inaua vipaji

Depay
Sanchez
Lukaku
Herera
Mikitarian
Falcao
Matic
Pogba
Smalling



Sent using Jamii Forums mobile app
Unaangaliaga mpira lakini? Wanauwaje vipaji mbona jemes,martial , rashford ,maguire ,bissaka huwataj kama vipaji vimekufa?

Wakin greenwood bado wananga'ra

Christiano ronaldo kachukua ballon dior kupitia hii timu heb tuambie vipaji vinakufa vipi

Chelsea wamepita wangap wakafeli?

Unatuambia chelsea waliua wakina tores ,,bakayoko drinkingwater,mateja kezman ,morata na shevshenko?
 
Huyu ni wa 40 pound mil, tulipigwa hapa
Sasa kama kirusi ni wa 120 pound mil na KDB atakua wa pesa ngapi?
Ila namshangaa sana kirusi, anajiaribia career yake, hata kama anataka kusepa ilipaswa awe na nidhamu na amkanye wakala wake akae kimya, timu gan kubwa itakubali ku'risk pesa nyingi ivyo kwa mchezaji mtovu wa nidhamu, si madrid wala barca wala bayern, ndio maana zidane hata hamshobokei, madrid wanaenda kuvunja bank kwa mbape mtambo wa magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana pesa ni halali ila ni mjeur anajiamini sana anaona kama bila yeye hamna kitu wakala wake na yeye wanashangaa scott na fred wamefanyakazi zaidi ya jamaa wanabwabwaja tu na bado matic mwenyewe alikuwa hana adabu saiv karud na nidham
 
Jack Grealish of Aston Villa is better than Pogba kirusi, in a complete sense,as a player, as a leader, as a person

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nje ya uwanja,
Lakini kama ni ndani ya dimba, unakosea sana .

Note: Sipendezwi na tabia za Pogba na wakala wake pamoja na Media(50% hawa wanachangia).
Kwa manufaa ya Pande zote mbili(Man u vs Pogba), Pogba aondoke Summer.

Sent using simu mbovu
 
Na iwe mwisho kusajili michezaji wa huyu wakala tapeli Mino Raiola
Ningekuwa family ya pogba ningemwambia avunje uhusiano na huyu jamaa, kama unauwezo unauwezo tu. Raioula sio anayecheza, anayecheza ni mtu mwingine kabisa. In case attitude ni ya agent. Lakini kama wanafanana wangeoana kabisa tujue

Mamamamae
 
Back
Top Bottom