Tukubaliane hapa, Shaw sio wa kumuweka bench Brandon.
Msajilini Mwarabu FighterHatuna striker mwenye nguvu ya kukaa na mpira pale mbele.
Nimeliona hilo
Tukubaliane hapa, Shaw sio wa kumuweka bench Brandon.
Wanasema anakimbia sana.😂😂 bora hata Pereira anapiga kazi kuliko Lingard. |
Hivi huyu Kocha kaoa kwa kina Lingard ama?
Ah unapenda kujifariji wakati ujijui hali yako ikojeChelsea naye anakata tu viuno..tushindwe tu sisi ku-take advantage,though bado mechi nyingi tu
Hakuna tunachocheza,tumezidiwa kila kitu. Afya za wachezeaji wetu ni mbovu sana..Yanayoendelea huku ni aibu tuchatini tu wanamazengo sitaki kuangalia huu ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app