Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
hii buku tatu nimenunua internet ni bora ningeipiga vyapati na maharage ya nazi tu asubuhi.Yanayoendelea huku ni aibu tuchatini tu wanamazengo sitaki kuangalia huu ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kiongozi hamtakiwi kusogelea nafasi ya 4 wewe na spursNi kama vile kuna mstari umechorwa kwamba hatutakiwi ksogelea nafasi ya 4.
Aaaaah binadamu bahna mshampata wa kumtwisha zigo.....
Kabisa wakiguswa tu chini wakati lacazette ni mpaka wawe wawili ndo wanamuangusha.Hakuna tunachocheza,tumezidiwa kila kitu. Afya za wachezeaji wetu ni mbovu sana..
Sent using Jamii Forums mobile app

