Hii timu hata samagoal hawezi kubali kuchezea kwa sasa😀😀Hv hata ww shabik wa man u Ndó ungekuwa Halaand ungekubali kuja kucheza kwenye litimu kama hili lisilojielewa au mnamlalamikia Raiola wa watu bure tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tunachocheza,tumezidiwa kila kitu. Afya za wachezeaji wetu ni mbovu sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu dirisha dogo litafungwa timu haijafanya usajili wa kiungo. Tatizo letu kubwa lipo pale kati. Huku kwenye mabeki tunao wengi, akizingua Maguire atakaa Rojo hivyo hivyo akizingua Lindelof atakaa TTuanzebe. Sasa kiungo tuna nani? Kidogo Fred ndio anapambana. Tumemtegemea Scott kapata jeraha, hamna mbadala. Matic mzee. Yani kwa MUFC hii inahitaji viungo makini wawili. Mmoja awe DM mwenye kasi,nguvu na akili ya haraka. Ila kwa hawa viungo wa sasa ni ushindi wa bahati tu. Na tutaendelea kuona mabeki hawafai. |
Lingard ilibid amalize mech mapema kuna kpnd bek no 2 ilipoteza mpira akawa anadrive badala ya kupga pas ya mwsho kwa martial hpa ndo tunamkumbuka perreira kwenye mech dhid ya burnley
Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya ile kazi eti Ole anamuweka nje leo anaanza Lingard. 😂😂 |
Licha ya ile kazi eti Ole anamuweka nje leo anaanza Lingard.
Raiola yuko sahihi 100%,Hv hata ww shabik wa man u Ndó ungekuwa Halaand ungekubali kuja kucheza kwenye litimu kama hili lisilojielewa au mnamlalamikia Raiola wa watu bure tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kocha hapo.Wakati mwingine Ole huwa simsomi ni kwamba anakosa uwezo wa kusoma mechi na kufanya mabadiliko haraka au inakuwaje?
Game tangu imeanza ilishaonekana leo tumezidiwa cha ajabu yupo tu kakunja nne.
Ngoja nilale kesho ntapata matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia uko jinsi mnavyoliwaaa ..watoto walaini walainiYule mwirani kanipigia bonge moja la goli,ikabidi mkimbie na pichu mkononi





Hv hata ww shabik wa man u Ndó ungekuwa Halaand ungekubali kuja kucheza kwenye litimu kama hili lisilojielewa au mnamlalamikia Raiola wa watu bure tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi siwalaumu wachezaji kukataa kuja MUFC. Hata Pogba bora alazimishe akimbie,huwezi kuwa chini ya kocha mbahatishaji na uongozi unaobahatisha ukafika popote. Mwisho utastaafu bila kombe. |