Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Game ya leo Ngumu(kwa sababu ni rahisi on paper).

GGMU


Sent using simu mbovu
 
Muda sio mrefu ataanza kutafuta mchawi ni nani kama kawaida yake,,yeye hujitoa tu kwenye lawama
Huyu kaishiwa mbinu nothing new, una'fail ManUtd yenye uwezo wa kununua wachezaji wawili kwa £70/70 pounds milion kwa mpigo ndio utaweza fanikiwa timu yenye m/kiti m'baili kama Daniel Levy?

Pale kaenda kudhalilika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal leo anawala vizuri tu..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatula kama Jahanbakhsh?
Screenshot_20200101-172902.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba mkataba wake unaisha June 2021 kama wasipomuongezea mkataba huenda United wakalazimika kumuuza bei chee au aondoke free.Real Madrid walitumia hiyo trick kwa Courtois na Hazard
Issue ni wapo teyari kulipa dau ambalo ManUtd wanataka? £120milion

Mytake, thaman ya sasa ya kirusi ni £40milion na Woodwad hawez kubali kumuuza kwa bei hii, kazi ipo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukitoka magoli ya penati Pogba hajafikisha hata goli 7

Kwenye assists ana jitahidi, lakini bado ameachwa mbali na akina Madison na Ericksen

Hapo sijaongelea viungo wa pembeni waliomzidi assists

Kwa KDB hastahili hata bench, yaani mbadala wake
Hapana aisee ukitoa De bruyne hakuna medfield yoyote uingereza kushinda Pogba.

Mchezaji anaekupa Double digits ya magoli na Assist ni nadra sana kuwapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GGMU

Tuingie sokoni tusajili wachezaji wakutuimarisha..huyu Pogba ni wakuuzwa hata kwa £7m..shenzi zake
TUMEPATA PIGO BAYA SANA KWA KUONDOKA POGBA...TIMU SASA INA WACHEZAJI WA KAWAIIIDAAA KAMA ARSENAL, HATUNA MTU WA MAANA PALE KATI.POGBA KUWEPO TU KWENYE FIRST ELEVEN TIMU PINZANI HAWAKAI KWA RAHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa Mkuu, kirusi angeondoka hata bure, sema tu ni mambo ya biashara

Majeruhi ya ankle miezi minne sasa!!! , na mwanzo tuliambiwa wiki sita. Kuna tetesi jamaa mechi ya Burnley alikataa kucheza akasema hajisikii vizuri, lakini basket ball anacheza, tena hadharani

Wakisema Scoty atakaa nje mwezi kwa injury, basi atapambana ndani ya wiki 2 au 3 arudi kuisaidia timu, wakisema Rashy atakaa nje wiki 3,basi kwenye rehab atatia juhudi ndani ya wiki na nusu arudi kuisaidia timu, lakini wakisema kirusi atakaa nje kwa injury mwezi mmoja, basi jua ni miezi minne hiyo
GGMU

Tuingie sokoni tusajili wachezaji wakutuimarisha..huyu Pogba ni wakuuzwa hata kwa £7m..shenzi zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom