[emoji23][emoji23][emoji23]Haya majukumu ya kupiga free kick na kuna, Fred amepewa na nani?
Ahaaaa mpaka Ole kaona aibuHaya majukumu ya kupiga free kick na kuna, Fred amepewa na nani?
goli hata lingekuwa kule nyuma asingefunga [emoji23][emoji23][emoji23] ila ndo kiungo pekeyake alobaki anapambana
ole hana aibu angekuwa na aibu asingempanga lingard halaf anaulizwa anasema huu inawezekana ukawa mwaka mzuri wa lingard [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama mpinzani kacheza vizur kwa nini usimpe sifa? Arsenal kacheza vizur kashinda au nyie huko chelsea ukizidiwa mbinu bado utajisifia? Leo united walikuwa hovyo arsenal waliziba nafasiBaada ya kula kichapo ndo unaona ni timu nzuri..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]goli hata lingekuwa kule nyuma asingefunga [emoji23][emoji23][emoji23] ila ndo kiungo pekeyake alobaki anapambana
Sent from my SM-G950U using Tapatalk
Aisee sijui hii kocha hajui kama huyu mtu hana takwimu nzur kitu nashangaa sana fikiria mtu kama lalana,keita na orig wanaanzia bench bado wanagoli nyingi kushinda lingard ambae kila mech lazima achezeLingardinho! [emoji23][emoji23] akiendeleza rekodi yake ya kutokuwa na goli wala assist kwa EPL kwa mwaka wote ulopita..
Sent using Jamii Forums mobile app
Lingardinho! [emoji23][emoji23] akiendeleza rekodi yake ya kutokuwa na goli wala assist kwa EPL kwa mechi zote za mwaka ulopita..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuwaache kwanza wapoze machungu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂