Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mtu anajiita Cash Money, shabiki wa Chelsea kule kalambwa pande za huku matokeo yanamuumiza

Nakumbuka nilisema kwa uchezaji wa Man U ni rahisi kuzifunga timu kubwa kuliko timu ndogo, akasema muifunge na Man City sasa

Sasa mwiteni na mmwambie tumefunga na hiyo Man City yake anayoigopa
Tena tumemfunga nyumbani kwake
 
√Embu tuwe serious jamani,Fred ameimprove sana..na Workrate yake siyo mchezo..ukimweka na McSouce (The Mad Dog) basi ni burudani kabisa..kuna pasi kampa Rashford,ebhana eheee!! ilikuwa tamu sana

√AWB is a rock..najua wengi tupo concerned na mchango wake wakati wa kushambulia,lakini tukumbuke primary work ya defender ni kukaba na AWB anafanya hii kazi kwa level za juu sana..my MOTM IMO

√James,a kid from championship playing like a 27 mature guy..na niulize huyu dogo hachoki??..2nd half amerudi kumsaidia AWB na Sterling akamalizwa ujanja wake

√Rashford analeta matumaini

√ Kumuona Fergie akitabasamu ni kitu poa sana

√ Wale mashabiki uchwara wa city waliomrushia vitu Fred na kuonyesha ishara za kibaguzi inabidi wamenywe ipasavyo..washenzi kabisa..na tumewatia,shenzi zao

Next ni Everton,..wana interim coach wao kama chizi vile wakifunga..hopefully tutawabamiza pale OT

GGMU
 
Jamaa wananfurahisha sana wanavyoshangilia humu ndani

Wameshinda ndio ila wamecheza mpira mbovu mnoo

Shida mi napenda ukweli sana mkuu

Nawashukuru wametusaidia liva kuongeza gap

Ila wasijione ndo washabeba epl hawa nyau
Sasa mpira mzuri utakusaidia nini kwenye mechi kubwa kama ile unayohitaji kuondoka na points 3 muhimu. Mwisho wa dk 90 watu wanaangalia ubao unasomaje. Alaf mpira mzuri ndo huleta matokeo chanya, au tupe kwanza maana ya mpira mzuri tujue unamaanisha nini!!!
 
Ngoja niachane na wewe mkuu

Ndo maana sijakujibu jna... Nmeimark hii reply yako
 
√Embu tuwe serious jamani,Fred ameimprove sana..na Workrate yake siyo mchezo..ukimweka na McSouce (The Mad Dog) basi ni burudani kabisa..kuna pasi kampa Rashford,ebhana eheee!! ilikuwa tamu sana

√AWB is a rock..najua wengi tupo concerned na mchango wake wakati wa kushambulia,lakini tukumbuke primary work ya defender ni kukaba na AWB anafanya hii kazi kwa level za juu sana..my MOTM IMO

√James,a kid from championship playing like a 27 mature guy..na niulize huyu dogo hachoki??..2nd half amerudi kumsaidia AWB na Sterling akamalizwa ujanja wake

√Rashford analeta matumaini

√ Kumuona Fergie akitabasamu ni kitu poa sana

√ Wale mashabiki uchwara wa city waliomrushia vitu Fred na kuonyesha ishara za kibaguzi inabidi wamenywe ipasavyo..washenzi kabisa..na tumewatia,shenzi zao

Next ni Everton,..wana interim coach wao kama chizi vile wakifunga..hopefully tutawabamiza pale OT

GGMU
Kusema ukweli ari ya upambanaji ipo juu mno kwa United kwa sasa....

Kutopoteza dhidi ya timu 6 za juu EPL sio kazi ya kitoto na kwa hili nampa heko sana Ole Sendeka maana anafanya kitu ambacho Unai ameshindwa fanya pale Arsenal...kuamsha marali ya upambanaji kwa wachezaji.

Ukiangalia kwa makini utaona timu nzima,wanapambana kwa kila hali kwa kazi chafu na safi....

Napenda DJ na Scott wanavyojiamini utasema ni 25's players kumbe bado sana.

Nilicheka sana lile buti alilopigwa Stearing na Perreira ndio maana halisi ya HAINA KUFELI....

Bigup
 
Bakini nae tu wakuu
Ofa Ofa Ofa, Kipa no 1 wa Chelsea Kepa anatolewa bure kabisa bila pesa yoyote ya usajili
74417130_442974276630898_8889691881802413265_n.jpeg
 
Back
Top Bottom