Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 855
- 1,481
Kwanini usiende city, wakupige mkuyenge uwapoze machungu?
Siku ninayotaka mpigwe Mkuyenge mwajifanya mnasinda![]()
Siku ninayotaka mpigwe Mkuyenge mwajifanya mnasinda![]()
Ndugu jaribu kutumia maneno yenye busara sasa habari za sijui mkuyenge zinaingiaje humu??.Siku ninayotaka mpigwe Mkuyenge mwajifanya mnasinda![]()
Dah wamefunga goli moja, huu mpira uishe tuu sasa


Bado sana. Hata nusu yao hastahili kulipwa..Sterling kakutana na mhuni anaitwa Aaron Wan-Bissaka hatembei kabisaa
. Rashford kwa sasa anastahili mishahara kama ya kina Messi na Ronaldo.
Kwani kuna shida mzee?Dah dakika zote hizo za nyongeza
mbona chacheKwani kuna shida mzee?![]()
mbona chache
Ndugu jaribu kutumia maneno yenye busara sasa habari za sijui mkuyenge zinaingiaje humu??.