Kwa sasa Fred akizingua itakuwa sio suala la kuhoji uwezo wake, bali suala la kuwa na bad game
Rashy kama kawaida yake anafunga magoli magumu lakini mepesi anakosa. Over all hizi wiki 4 amekuwa kwenye kiwango kikubwa sana
James ukiacha mchango wake kwenye kushambulia, ana umuhimu sana kwenye kukaba (kama huamini muulize Angelino). Jana ame recover mipira mara 8. Kiukweli tumewaibia Swansea City, huyu dogo sio wa £15m
Scoty being Scoty, Martial being Martial na De Gea being Degea ilituimarisha zaidi
Lindelof jana alijituma sana, Harry aliongoza timu vizuri na alifanya clearence za kutosha kwenye mipira ya juu
AWB anasumaku miguuni, mpira haupiti kizembe anapo block, na forward akishangaa shangaa jamaa ameudokoa na mpira wa 50/50 forward aruke tu maana kwanja litakalopita halitamwacha salama
Naona safari ya Matic January, naona headache kwa OGS, kirusi atakapokuwa fit kumu accomodate