OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Ninyi mumeliwa nin ..Macho kwa Ole sasa, huko London wameshakula kichwa



Ninyi mumeliwa nin ..Macho kwa Ole sasa, huko London wameshakula kichwa



Chelsea fresh huko
Ollachunga uache kuita guest house gheto.



wewe umalizi juu arsenal msimu huu ..kama arsenal akiwa nafasi ya kumi na tatu ..wewe utakuwa kumi na nne ..ivyo ivyo mzunguko utaenda had msim uishe


Rashid alifunga goli...?Rashford anakosa Goli anacheka hii Timu bhana
Bissaka tumepigwa mkuu.Huyu Bisaka naye kashaingia katika mchezo wa kimanchecter
Nilicheki hii gemu jana Cantwell alicheza poa sana,,yaani unaona huyu mchezaji anatumia hata akili zake mwenyewe kuinfluance matokeo..Wachezaji hawajitumi kuna sehemu zingine unaona kabisa zinahitajika juhudi binafsi za mchezaji lakini mtu anapoteza mpira.
Kama uliangalia mechi ya jana ya Arsenal na Norwich unaweza kuona CANTWELL vitu alivyokuwa akivifanya uwanjani kwani sisi wachezaji wetu hawafanyi hivyo ?
Au timu nzima imesajili wazanzibari ?
Nilicheki hii gemu jana Cantwell alicheza poa sana,,yaani unaona huyu mchezaji anatumia hata akili zake mwenyewe kuinfluance matokeo..
Wachezaji walosafiri Wa kikosi cha kwanza nadhani alikuwa ni Luke shaw,Lee grant,tuanzebe Axel na Mason Greenwood kama sikosei. Na ukiangalia hapo hao wote siyo first starters, Wengine wote walikuwa ni Wa kikosi B cjui na C huko. Kwa hiyo hapo kadanganya halafu Mimi nilikuwa najua wazungu si waongo kama hivyo.Mkuu Daemusin hapo ulipokoleza ni mimi ndo sijaelewa maana yake au hahahahaha
Ila jamaa anapiga rafu sana yule dahhh....anapiga kiatu kama hana akili nzuriNilicheki hii gemu jana Cantwell alicheza poa sana,,yaani unaona huyu mchezaji anatumia hata akili zake mwenyewe kuinfluance matokeo..
Jumatano mna MourinhoOle hafiki Xmas, game za spur na city ambazo ndo zinafuata kupata point 2 itakuwa miujiza..... Sasa can u think of utd
16 epl games; less than 20 points
What does this signifies??If all PL matches finished at half time this season
View attachment 1280156
What does this signifies??
Wasaalamu Mkuu Daemusin .Darren Fletcher: "It has been an interesting season. I think everyone at the club expected it to be that. I think there is a change in the culture behind the scenes which is hard for fans to realize.”
Garth Crooks has urged United to move for Jack Grealish following his weekend display at Old Trafford.
Mkuu DaemusinView attachment 1280347
View attachment 1280349
kipindi cha kwanza tumeruhusu kufungwa magoli 5 na tumefunga magoli 11.
kipindi cha pili tumeruhusu kufungwa magoli 12 na tumefunga magoli 10
ukiangalia uwiano wa kufunga magoli vipindi vyote viwili unalingana lakini uwiano wa kulinda magoli ni mbovu.
tatizo kuu huenda linachangiwa na wachezaji wenyewe kwa kushindwa kufuata maelekezo ya mwalimu ifikapo second half hususani dakika za mwishoni.
kwa leo kiupande wangu acha nimtetee ole gunnar solskjaer japokuwa nimeona udhaifu mwengine wa kufunga magoli
labda tusubirie maoni ya wadau wengineo.
Tanayzer , Mc cane , PTER
View attachment 1280358
View attachment 1280359
leicester city wanakuwa vizuri zaidi kipindi cha pili
wamefunga magoli 23 na wamefungwa magoli 2.
dakika 15 za mapumziko mwalimu wao anazifanyia kazi ipasavyo
Down and beatenSolskjær press conference vs Spurs (H)
Concerned by form?
We’ve had too many draws for my liking, defeats of course, but draws we should have turned into wins and football is a results business, not happy know we can do better and are working hard, the work is always geared on us improving but we’re not getting all the results we’ve deserved.
Spoken with Ed Woodward?
We speak all the time so it’s not like knee jerk suddenly now we need to talk, we speak a few times every week so it’s continually progressing, the plans we’ve put in place, the rebuilding we know we started, made some decisions that were necessary and now, of course, we’re not happy where we are but will continue working.
Big week ahead
Three days or four days are not gonna change a whole lot, but these two games are great chances to improve things and prove to ourselves we can continue in the vein against some of the better sides, had some good results against good teams and we’ve got a plan for Wednesday night.
Jose Mourinho's return
Very good reception, that’s just a testament to this club and these supporters, remember two and a half years, won trophies, I’m 100 percent sure our fans, staff, and club will welcome him.
Position of the club when Mourinho left
Can’t remember league position but I’ve had now 50 games since then and it isn’t where it should have been and isn’t where we want to be and have to improve, working hard to do that right and when you change manager halfway through the season isn’t where it wants to be.
Worried about being sacked?
No it doesn’t make me more concerned, I’m just focusing on my job and that’s doing as well as I can, look forward to next game, look long-term plan things with board.
Looking forward to the January window?
I don’t wanna talk about all the injuries we’ve had but when you get Scott back, when you get Paul back, we have been light in midfield, with three out for such a long time and that’s affected us.