Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilijua tunashinda tu baada ya kuona Man u kapewa odds 10 nikaweka mkeka bahati nzuri nikapata ya chai.
Screenshot_20191208-120141.jpeg
 
Liverpool mwenyewe alijikaza kwelikweli!!
Halafu kuna watu wanajiropokea tu oooh Ole aondoke!.Yaani man utd wamuache Ole astaafie hapo kama ambavyo chelsea nawashauri wamuache Lampard astaafie Stamford.Ogopa sana kocha anakuwa na wachezaji wa buku-buku halafu matokeo anapata ya buku mbili.Ogopa sana huyo.Akiboostiwa pesa ya usajili lazima watu waisome!
 
Kusema ukweli ari ya upambanaji ipo juu mno kwa United kwa sasa....

Kutopoteza dhidi ya timu 6 za juu EPL sio kazi ya kitoto na kwa hili nampa heko sana Ole Sendeka maana anafanya kitu ambacho Unai ameshindwa fanya pale Arsenal...kuamsha marali ya upambanaji kwa wachezaji.

Ukiangalia kwa makini utaona timu nzima,wanapambana kwa kila hali kwa kazi chafu na safi....

Napenda DJ na Scott wanavyojiamini utasema ni 25's players kumbe bado sana.

Nilicheka sana lile buti alilopigwa Stearing na Perreira ndio maana halisi ya HAINA KUFELI....

Bigup
Ile mimi nilijua ni straight red card sema bahati ilikuwa upande wetu.
 
Halafu kuna watu wanajiropokea tu oooh Ole aondoke!.Yaani man utd wamuache Ole astaafie hapo kama ambavyo chelsea nawashauri wamuache Lampard astaafie Stamford.Ogopa sana kocha anakuwa na wachezaji wa buku-buku halafu matokeo anapata ya buku mbili.Ogopa sana huyo.Akiboostiwa pesa ya usajili lazima watu waisome!
mechi nne zijazo za premier league
Everton, Watford, Newcastle and Burnley.....
nitazidi kuwa upande wake pale ambapo atafanikiwa kututhibitishia ya kwamba tayari ameshapata dawa ya kuzisambaratisha timu za kawaida (tunachohitaji ni kuwa na consistent form bila ya kuangalia ni adui gani tunakutana naye na si kuturambisha asali siku moja then anaturudishia shubili siku sita za wiki)

hivi kuna mechi yeyote kubwa ambayo wachezaji wetu wamecheza chini ya kiwango?

kwenye hiyo hoja yako ya kupewa buku buku hivi leicester city na man utd ni yupi aliyetumia hela nyingi za usajili?
kati ya leicester city na man utd ni ipi timu bora ndani ya uwanja lwa kuangalia ubora wa mchezaji mmoja mmoja na si majina na mishahara?
 
These two games tumecheza vizuri sana next game tunacheza na Everton OT ngoja tuone tutatokaje
Kwa sasa Fred akizingua itakuwa sio suala la kuhoji uwezo wake, bali suala la kuwa na bad game

Rashy kama kawaida yake anafunga magoli magumu lakini mepesi anakosa. Over all hizi wiki 4 amekuwa kwenye kiwango kikubwa sana

James ukiacha mchango wake kwenye kushambulia, ana umuhimu sana kwenye kukaba (kama huamini muulize Angelino). Jana ame recover mipira mara 8. Kiukweli tumewaibia Swansea City, huyu dogo sio wa £15m

Scoty being Scoty, Martial being Martial na De Gea being Degea ilituimarisha zaidi

Lindelof jana alijituma sana, Harry aliongoza timu vizuri na alifanya clearence za kutosha kwenye mipira ya juu

AWB anasumaku miguuni, mpira haupiti kizembe anapo block, na forward akishangaa shangaa jamaa ameudokoa na mpira wa 50/50 forward aruke tu maana kwanja litakalopita halitamwacha salama

Naona safari ya Matic January, naona headache kwa OGS, kirusi atakapokuwa fit kumu accomodate
 
Timu kama Leicester hujitokeza angalau mara moja baada ya misimu kadhaa.Hiyo consistency unayoitaka haijengwi kwa usiku mmoja ndugu wala haijengwi kwa kubadili makocha kiholela-holela tu.Sijaona tija ya timua-timua hadi sasa.Abaki huyu huyu maana kwa wachezaji alio nao na matokeo anayopata mi naona anajitahidi sana tu.
mechi nne zijazo za premier league
Everton, Watford, Newcastle and Burnley.....
nitazidi kuwa upande wake pale ambapo atafanikiwa kututhibitishia ya kwamba tayari ameshapata dawa ya kuzisambaratisha timu za kawaida (tunachohitaji ni kuwa na consistent form bila ya kuangalia ni adui gani tunakutana naye na si kuturambisha asali siku moja then anaturudishia shubili siku sita za wiki)

hivi kuna mechi yeyote kubwa ambayo wachezaji wetu wamecheza chini ya kiwango?

kwenye hiyo hoja yako ya kupewa buku buku hivi leicester city na man utd ni yupi aliyetumia hela nyingi za usajili?
kati ya leicester city na man utd ni ipi timu bora ndani ya uwanja lwa kuangalia ubora wa mchezaji mmoja mmoja na si majina na mishahara?
 
Timu kama Leicester hujitokeza angalau mara moja baada ya misimu kadhaa.Hiyo consistency unayoitaka haijengwi kwa usiku mmoja ndugu wala haijengwi kwa kubadili makocha kiholela-holela tu.
tuchukulie hivyo hivyo unavyotaka wewe ya kwamba leicester city ni upepo wa kisulisuli,

timu bora haijengwi kwa mwaka mmoja kama tutatumia reference za team nyenginezo kama liverpool ya klopp (kwa siku ya leo sipo kabisa kwenye huu mjadala wa kujenga timu imara ya muda mrefu itakayoturudishia nyakati za furaha kwa sababu nafahamu fika tumekosa football heritage hivyo basi tutahitaji uwekezaji mzuri wa wachezaji wenye kuendana na mfumo wa mwalimu aliepo pamoja na muda kama ulivyozungumza na hilo tumeshaanza kuliona baada ya kushuhudia uwekezaji wa wachezaji wote watatu walioletwa na mwalimu wanafanya vizuri sana na baadhi yao pia wakiondolewa mfano fellaini ambaye si mchezaji anayeendana na philosophy tulioizoea pale carrington na wengineo wataondolewa)

lakini huo ujengaji wa timu bora isiwe sababu kuu ya kuamua kujitoa ufahamu kwa makusudi pale timu inapofanya vibaya, wewe jenga timu yako lakini hakikisha timu inaendelea kupata matokeo yenye kuridhisha na ndio maana kwa kulifahamu hilo uongozi wa man utd kwa kiasi kikubwa sana japokuwa hawajaliweka hadharani wamewawekea makocha kipaombele kikuu cha kuhakikisha timu angalau inapata tiketi ya kushiriki UEFA kila msimu (hatuna uwezo wa kushinda ubingwa basi hata UEFA ndio itushinde licha kufanya uwekezaji mkubwa kila mwaka)

achana na mlango wa europe league na utapataje tiketi ya uefa kama utashindwa kuzifunga timu ndogo ambazo ndio nyingi?

kama nipo sahihi
tumepata alama 14/18 dhidi ya timu kubwa (well done)
tumepata alama 10/30 dhidi ya timu ndogo (poor, poor, poor)

tunachohitaji ni kuiona nguvu ile ile yenye kuambatana na nidhamu ya uchezaji kwenye mechi kubwa pia tunaitumia kwenye mechi ndogo na mwenye wajibu wa kulisimamia hilo ni mwalimu hata kama yeye si mchezaji wa uwanjani ila kumbuka mtoto anapokosa nidhamu mtu wa kwanza anayepaswa kuangushiwa lawama ni mzee ndio maana mwisho wa siku anayetimuliwa kazi ni mwalimu na si wachezaji.

=============================================
brendan rodgers ameanza kufanya kazi february 2019 pale leicester city.
ole gunnar solksjaer ameanza kufanya kazi december 2018 pale man utd

kwa nini leicester city wanacheza vizuri zaidi ya man utd
kwa nini leicester city wanapata matokeo mazuri zaidi ya man utd.

tunapaswa tujitofautishe na blackburn rovers ya damien duff (wazee wa kukamia mechi kubwa)
 
Back
Top Bottom