Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole anajua ku-approach sana, yan pogba akirudi tu anakua kama mchezaji mpya ndani ya club!

Solskjær: “He’ll [Pogba] be like a new signing for us. He’s not really been able to play for us and, when we get him back, it’ll be like a new world-class signing and world-class midfielder."
-
Solskjær: “Nobody can doubt his professionalism, his willingness or desire to play football. He’s a footballer and one of the best midfielders in the world. It will be like a new signing of a player
 
wala sikuwa na nia ya kumdhihaki fred
nilichokikusudia ni kwamba mara nyingi ubora wa mchezaji unatokanwa zaidi na bidii ya mchezaji mwenyewe na si kusubiria miujiza ya mwalimu.......

mchezaji wa mpira ambaye ni professional hana utofauti wowote na mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefanikiwa kuishi katika nyakati hizi za teknolojia (mwanafunzi anayejielewa hatakiwi kuigiza maisha ya kinda la ndege bali yeye mwenyewe anapaswa ajishughulishe)

bahati mbaya sana kwetu sisi mashabiki na wapiga kelele wa manchester united tukishirikiana na wachezaji tumekuwa tukiyaigiza maisha ya kinda la ndege (maisha ya utegemezi)

hizi ndio baadhi ya fikra zetu zinazoendelea kutawala ndani ya mishipa yetu ya hisia
kocha fulani akija tutaimarika kiuchezaji
kocha fulani akija atafanikiwa kuwafanya wachezaji wetu wapandishe viwango vyao from mediocre to G.O.A. T

bila ya kuwepo bidii kutoka kwa wachezaji wenyewe hata kama benchi letu la ufundi litaundwa na makocha wote mahodari basi hatutofanikiwa

ndio maana nikatoa mifano hii
pochettino anao uwezo wa kumfanya martial awe mchezaji bora bila ya mwenyewe kuweka bidii?
allegri anao uwezo wa kumfanya fred awe kiungo bora bila ya mwenyewe kuweka bidii?
zidane anao uwezo wa kumfanya lingard awe bora kama isco bila ya mwenyewe kuweka bidii?

sir alex ni mwalimu bora kuwahi kutokea lakini alishindwa kumfanya jones na smalling wawe bora
van gaal ni mwalimu hodari barani ulaya lakini alishindwa kuwafanya jones na smalling wawe bora
jose mourinho ni mwalimu hodari barani ulaya lakini alishindwa kuwafanya jones na smalling wawe bora
Mkuu smalling wa Roma ni beki wa dunia aniangushi kwenye mikeka mara paaap anapiga migoli mi assist blocks za kutosha
 
Solskjaer: “I just need to make sure we get performances and get three or four performances after each other. What I can say is we have had the lead in so many games and we haven’t been able to win; six or seven times we’ve been 1-0 up, or 2-1 or 3-2. We should be better at seeing those games into wins

It isn't easy to win against a team that is just above the Relegation zone when most of the players from your team have travelled to Kazakhstan midweek to play in Europe.

mtu mzima haitwi muongo
 
ngoja ninyamaze labda sijaelewa lugha.
Wachezaji kumbe walienda Europa okay
 
Whaaaaaat..........

Axel, Shaw, Grant, Lingard, ndio most of the team travel to.......

Hakika mtu mzima haitwi muongo
Solskjaer: “I just need to make sure we get performances and get three or four performances after each other. What I can say is we have had the lead in so many games and we haven’t been able to win; six or seven times we’ve been 1-0 up, or 2-1 or 3-2. We should be better at seeing those games into wins

It isn't easy to win against a team that is just above the Relegation zone when most of the players from your team have travelled to Kazakhstan midweek to play in Europe.

mtu mzima haitwi muongo
 
Kwa sasa Ole ameshajua kuwa hana timu ya kucheza epl.

Kibaya zaidi kakosa mbinu za kuwafanya hao wachezaji wake wa hovyo walau wafanye chochote kitu.

Kwa hicho alichokisema inaonyesha kiasi gani yuko frustrated kwa sasa na hajui afanye nini.

Ninachokiona mimi Ole ana mechi mbili tu za kuendelea kuwa kocha wa man united mechi zijazo ana nafasi ndogo sana ya kushinda achilia mbali kupata sare tu.

Kama kashindwa kupata matokeo kwa hizi timu ndogo hizo zinazokuja huenda akafukuzwa tu.

Mechi ya jana ilikuwa muhimu mno kupata ushindi hasa ukizingatia matokeo ya wikiend hii yalikuwa favourable sana kwetu.

Bodi ina wakati mgumu sana, Sosha timu imekua kubwa kumzidi, timu ina matatizo mengi kocha+wachezaji
 
Ole kwenye ubora wake..Pathetic
 
Mkuu Daemusin hapo ulipokoleza ni mimi ndo sijaelewa maana yake au hahahahaha
 
Kwenye pecking order ya kutimuliwa EPL ipo kama ifuatavyo:-

Silva - Everton

Pellegrin - Westham

Solskjaer - Man Utd

Nafahamu Ed amemuhakikishia OGS kwamba kibarua chake kipo salama, lakini kwa matokeo mabovu anayopata amuulize pia Jose na LVG, nao pia walihakikishiwa
Ole hafiki Xmas, game za spur na city ambazo ndo zinafuata kupata point 2 itakuwa miujiza..... Sasa can u think of utd
16 epl games; less than 20 points
 
Wachezaji hawajitumi kuna sehemu zingine unaona kabisa zinahitajika juhudi binafsi za mchezaji lakini mtu anapoteza mpira.

Kama uliangalia mechi ya jana ya Arsenal na Norwich unaweza kuona CANTWELL vitu alivyokuwa akivifanya uwanjani kwani sisi wachezaji wetu hawafanyi hivyo ?

Au timu nzima imesajili wazanzibari ?

Back
Top Bottom