Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mtu anajiita Cash Money, shabiki wa Chelsea kule kalambwa pande za huku matokeo yanamuumiza

Nakumbuka nilisema kwa uchezaji wa Man U ni rahisi kuzifunga timu kubwa kuliko timu ndogo, akasema muifunge na Man City sasa

Sasa mwiteni na mmwambie tumefunga na hiyo Man City yake anayoigopa
 
Jamaa wananfurahisha sana wanavyoshangilia humu ndani [emoji23][emoji23]

Wameshinda ndio ila wamecheza mpira mbovu mnoo

Shida mi napenda ukweli sana mkuu

Nawashukuru wametusaidia liva kuongeza gap

Ila wasijione ndo washabeba epl hawa nyau [emoji23][emoji23]
hakuna Manchester iliyowahi kucheza mpira mzuri ukiondoa ya LVG

muandiko mzuri sio lazima bana, ukijua kuandika inatosha

results matter
 
Ila wasijione ndo washabeba epl hawa nyau [emoji23][emoji23]
Jamaa wananfurahisha sana wanavyoshangilia humu ndani [emoji23][emoji23]

Wameshinda ndio ila wamecheza mpira mbovu mnoo

Shida mi napenda ukweli sana mkuu

Nawashukuru wametusaidia liva kuongeza gap

Ila wasijione ndo washabeba epl hawa nyau [emoji23][emoji23]
Aiseee...[emoji848][emoji1]
 
Back
Top Bottom