Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

.Sterling kakutana na mhuni anaitwa Aaron Wan-Bissaka hatembei kabisaa

. Rashford kwa sasa anastahili mishahara kama ya kina Messi na Ronaldo.
Hivi mzee huwa unakunywa ndo unaandika? Hiyo aya ya mwisho imenipa maswali kidogo kukuhusu.
 
Ole bana kuna mda namchukia mechi 2 hizi nimempenda basi tafrani maisha bila unafiki hayaendi asee. Ila nimeamini tukicheza na timu ambayo iko open tunaitandika sana hawa ilibidi wafe hata 5 leo. Mpaka dakika ya 30+ on target 7 kwa 0
 
Fred wa shakhtar Donetsk aliyekuwa akicheza sambamba na fernandinho alitua kwa mara ya kwanza carrington siku ya jumatano dhidi ya spurs na leo pia yupo dhidi ya city.
Naomba pogba aendelee kupona vizuri hadi may,asiharakishwe kurudi ataumia zaidi.
Yaani sisi Man Utd tuna mbwembwe balaaa
 
Back
Top Bottom