Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umejibu kisiasa ila poa, my opinion OGS apewe madirisha mawil zaid ya kusafisha/new signout timu itarud, falsafa yake ya kuwamini vijana inanikosha na ndio falsafa za utd, hata new signing alizofanya maguire, bissaka n james ni typical utd DNA
LVG n Mou walituulia timu, wamesajir wachezaj wengi kw pesa ndefu wasio msaada ktk timu eg Martial, Sanchez, Bailly, Lukaku, Micktaryan, Depay etc
Kumbe Bailly bado yupo Utd....nilishamsahau !!!
 
GGMU
78561377_592492181522854_484101560821874688_o.jpeg
 
Jicho kwenye game ya Man City vs Man Utd

United atakuwa ugenini dhidi ya City ambapo wataanza kutoana damu saa 2:30 usiku

Fomu ya Man City katika mechi 6 zilizopita, kashinda 2,ka draw 2 na amepoteza 2

Fomu ya United katika mechi 6 zilizopita, kashinda 3, kadraw 2 na kapoteza 1

Katika mechi 27 zilizopita pale Etihad, City kashinda mechi 24, ame draw 1 na kapoteza 2

Katika mechi 10 za mwisho kati ya timu hizi 2, Man City ameshinda game 4,na United game ameshinda game 4 na draw 2, katika mechi 2 za mwisho kati ya vijana hawa wa Manchester, Man City ameshinda mechi zote 2

Katika big matches 5 (against top six) Man United ameshinda game 2,ame draw game 3 na hakuna mchezo aliopoteza

City chini ya Guardiola hawajawahi kupoteza mchezo zaidi ya mmoja katika msimu, msimu huu ameshapoteza dhidi ya Wolves

City wana match 8 sasa bila cleansheet katika mashindano yote

Katika mechi walizokuwa wana possession ndogo United ameshinda mechi 5,ame draw 1 na hakufungwa,yaani wining rate ni 80%. Katika mechi ambazo United amekuwa ana possession kubwa kuliko mpinzani wake United ameshinda mechi 1, ame draw 5 na amepoteza 4 ambapo hapa winning ratio ni 10%

City hautakuwa na Aguero, Laporte na Sane katika mchezo huu, huku United wakimkosa Pogba a.k.a kirusi na Martial akiwa hayupo fiti 100%
 
Leo nina confidence,sijui hata inatokea wapi..Anyway ngoja tusubiri saa 2 unusu

I hope;

√Fred na McTominay wataendelea kukichafua pale katikati ile kiroho mbaya....McFred baby

√De Gea atakuwa active kama juzi

√Lindelof atatulia kama juzi

√Lingard ataanza kwenye nafasi ya Perreira..don't get me wrong,Lingard is not what we want but for the meantime it doesn't make any sense yeye kuanzia benchi huku Perreira akianza..

√Greenwood ataanza,Martial aanzie benchi aangalie wanaume wakipambana,siyo yeye kutroti uwanjani kibrazameni

GGMU
 
Ni squad mkuu, lakini kabla ya mechi (saa 1 kabla) majina 18 ndio yanakuwepo kikosini na kocha ana choice ya kuweka idadi yoyote ya makipa (au namba yoyote) ila mwisho wa siku huwa wanawekwa makipa 2

Hiyo inasaidia hata kipa mmojawapo akaipata dharura bado kocha anakuwa na option ya kupata makipa 2 kwenye kikosi cha mwisho cha wachezaji 18
Hivi kwa nini makipa wote watatu wanakuwaka kwenye matchday list??
 
Leo nina confidence,sijui hata inatokea wapi..Anyway ngoja tusubiri saa 2 unusu

I hope;

√Fred na McTominay wataendelea kukichafua pale katikati ile kiroho mbaya....McFred baby

√De Gea atakuwa active kama juzi

√Lindelof atatulia kama juzi

√Lingard ataanza kwenye nafasi ya Perreira..don't get me wrong,Lingard is not what we want but for the meantime it doesn't make any sense yeye kuanzia benchi huku Perreira akianza..

√Greenwood ataanza,Martial aanzie benchi aangalie wanaume wakipambana,siyo yeye kutroti uwanjani kibrazameni

GGMU
Boss hapo kwa Pereira hakiyanani ni Mara mia tuwe na Lingard maana huyu mbrazili kila anavyokuwa anapotea badala ya Ku improve
 
Back
Top Bottom