Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

.
fa22c5141b3d776b486d84a3d2793eeb.jpeg
 
Hata akifukuzwa ni ujinga wake. Unakubali vipi kupewa mkataba bila kuhakikisha utapatiwa unachotaka?

Nini kilimfanya akubali Herrera aondoke wakati anajua hatopewa mid.kama Herrera?

Nini kilimfanya akubali kumtoa Lukaku bila kuhakikisha atapewa #9 mwingine? Unamtegemea Rashford

Unamtoa kwa mkopo Sanchez? Unabaki na nani?

Acha aishushe timu daraja kwanza ili akaitengeneze
Siku hizi jukwaa la Chelsea la moto. Hakuna kupiga umbea tena
 
Abraham anaweza vipi?

Management mambo ya mpira ni zero huwez uza lukaku na herrera kwa mpigo bila replacement kupata


Maandishi yako yanatia huruma kama wahanga wa mlipuko wa Moro. Sasa hivi hata umbea umepungua majukwaa mengine. Leo mpk umemkubali Abraham sasa ngoja mkutane naye muone atakachowafanya.

Kubalini tu zama zenu zimeisha
 
Sasa naanza kuzikumbuka zile comeback za Morihno, na ile substitution yake pendwa na Fellaini .
At least tulikua na matumaini yakupata dro tim ikiwa nyuma hata goli mbili zinarudi, uyu ndugu yake Olesendeka kafail kila kitu namashaka na uwezo wake.
 
Update :Tumecheza mechi 8 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 3 tumefungwa mechi 3
Tumefunga magoli 9 tumefungwa magoli 8
Liverpool wametuacha point 15 ,Man City ametuacha point 7,Arsenal ametuacha point 6
Mna point 9
 
Back
Top Bottom