Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmmh Mambo sio mabaya nyota ya liverpool ya kipindi kile ...tume ipokea kwa mikono miwili ..iyo ndo nafasi yetu kuanzia leo. tukienda sana nafasi ya 8[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20191006-202718_Google.jpeg
 
kabisa yani! sema ana damu ya kunguni!
Kuna mtu humu alinitukana sana kuhusu mourinho nahisi dawa inamuingia kisawasawa jibu kapata

Toka astaafu sir alex mourinho alikuwa kocha sahihi wa manchester united
 
Na bado gemu ijayo Liverpool anawakanyaga tena,mtanyooka tu.
 
leo timu kubwa ambayo haijafungwa ni Yanga.

City kipigo
United kipigo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
What garbage u talking about? City ni kubwa kuliko Chelsea na arsenal?
Au hizo hujaziona.
 
Manchester United ni YANGA iliyo changamka... Vipigo ndio Kwanzaa vimeanza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom