Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna watu wanaamini James ni bora Sanchez au Rashford kuliko Lukaku.

Form is temporary but class...

Mkimfukuza Ole haitasaidia atakayekuja atafanya kazi na hao hao akina Rashford, hakuna quick solution kwa sasa.
Kama MUFC inataka kujengwa irudie makali yake, Ole sio kocha sahihi. Hawezi kuijenga hata apewe misimu sita.

Kocha anayewalambalamba wachezaji hawezi kujenga timu,wakati unawalambalamba baadhi ya wachezaji unashusha morali ya wachezaji wengine na hapo ndo kaburi la timu linapochimbwa.
 
Hao wachezaji yeye OGS ndio alikuwa hawataki,hawakuondoka wenyewe
Hakumtaka Lukaku ili Rashford aenjoy maisha sio?😂😂

Hakumtaka Herrera kwakuwa ana viungo wengi wazuri wanaoweza kucheza kama yeye.😂

Naomba Mungu asifukuzwe ili timu ikishuka hao mabosi washtuke😂
 
Naona Kuna misukule inamkumbuka mou na kutuona sisi wanajeshi tuliempindua yule hayawani kuwa tulikosea kwa maamuzi Yale pendwa .. Nasema Tena timu ilifanya maamuzi sahihi kumuondoa nduli yule .. Kufanya vibaya kwa ole hakuondoi upuuzi wa Mou ...




Narudia Tena na nimekuwa nikilisema hili several times man United lazima iwe timu ya kocha akifanya vibaya FUKUZAAAAAAAA... Sio kung'ang'ania .. Mou Fukuzaaaaaa ... Huyo Ole Fukuzaaaaaa Mpaka turudi njia kuu.



Sasa nazisubiri zile mbuzi au mifugo ya nduli mou ije kichwa kichwa kujibu hii comment kipuuzi puuzi niwaoneshe kwanini Kilimo kiliitwa Ni uti wa mgongo.


GGMU



GGMU
Uko sahihi sana mkuu...
 
"Remember when Harry Maguire said he was leaving for bigger and better things?"
Ever since,

-Leicester city are above them

-Tammy Abraham better than Rashford

-Ole Gunnar Solskjaer's misery deepens

-Chelsea and Arsenal better than Manchester United right now
 
Jose Mourihno aliomba sana usajili wa Maguire, amesajiliwa akiwa ameondoka. huenda angesaidia kiasi
Mou tatizo angepewa Maguire na Bissaka angetoboa sana. Ila naye alikuwa na matatizo(sijui ni yeye au Pogba) maana alishindwa kutengeneza mahusiano mazuri na wachezaji.

Naona Ed alijua Mou angebaki Pogba na Martial walikuwa wanatakiwa kuondoka,hakuwa tayari kwa hilo.
 
So sad!
20191006_212235_rmscr-1.jpg

De Gea: “I don’t know what is happening. We cannot even score one goal in two games."

Jamaa kama anataka kulia hiviii!
 
Back
Top Bottom