Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

dhairi pasina rabsha yoyote unaona kabisa Newcastle wanapambana ili washinde 3pts, hawana uoga wowote.
yani kama kinywaji kipo kwenye frigi kinapoa, kazi kwa man utd kupindua matokeo hila hawa newcastle mipango yao inaonekana na kufanikiwa
 
Kikao cha dharura ukumbi wa Pius Msekwa
70830723_559862061511103_8010701398880357647_n.jpeg
 
Back
Top Bottom