waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,753
Naina daraja liko vizuri saizi alichagui tones za kubeba.
Hii ligi acha tu, huyu Chelsea alipiga ngapi?
Naina daraja liko vizuri saizi alichagui tones za kubeba.
Hii ligi acha tu, huyu Chelsea alipiga ngapi?
B Kocha nae ni tatizo kubwa,kwanini asijaribu hata kucheza na mabeki watatu? Timu yenyewe hii Newcastle inacheza na mabeki watano nyuma.
Amna kocha kisha anaonekana ana chuki binafsi au analazimishwa baadhi ya wachezaji wacheze.
Subiri watubahatishe goli moja ndio atajua hajui. |
1 - 1Hv Wolves tulitoka nao vp?




ahsante sana kwa masahihisho
ule ushindani kati ya rashford na tammy abraham bado unaendelea?
Ollachuga Oc
Lukaku alimzidi nini morata..??Unaukumbuka ushindani wa lukaku na morata