fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,210
- 9,206
Chelsea muunganiko wa timu umekubali wakati sisi bado tunasubiri january transfer window ili tutengeneze timu.
Inaleta tofauti gani kusajili wachezaji 5-6 kwa dirisha moja ili kuanza kujenga timu na kusubiri kusajili kwa mafungu wakati uhitaji unaonekana kuwepo tangu awali kutokana na maoni ya giggs? Daemusin