Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa Conte ataweza ?
Mourinho hakushindwa kinachomtokea sosha ndicho kilichowatokea moyes na van gaal dirisha la usajili lilikuwa waz miez mitatu unashindwa hata kufanya mbadala wa herrera maana yake timu inatafuta dili za kibiashara na mikataba minono uwanjani hawajali kama mkurugenz wa hii timu angekuwa makini basi leo timu ingekuwa mbali
 
LINGARD:- Mashabiki wa Man u najituma sana uwanjani nipimeni kwa kuvuja jasho, nakimbia kama swala nahakikisha mpira haukai kwa timu pinzani.

Nafanya kazi ya kuwatisha tisha mabeki ndio maana nakuwa hatare nisipokuwa na mpira huo ndio umuhimu wangu.

Kocha ananiamini ananipa jukumu la kukimbia bila mpira timu ionekane imechangamka.

Heshimuni jasho langu.
Hawa jamaa uingereza unawapofusha sana, ndio maana pamoja na ujinga wote anaofanya Rashford hawezi kusemwa. Muone huyu.
FB_IMG_1570093388314.jpg
 
√Lingard sio mchezaji mbaya sana kihivyo kama wadau mnavyomuongelea..Pia anapaswa asiwe everyday starting material kwenye 1st eleven yetu..kuna aina ya mfumo unamsuit sana huyu jamaa,,hasa quick transition..ila sasa timu nyingi tunazokutana nazo recently zinakaa nyuma na kwa aina hii ya mchezo Lingard hawezi kuonekana hata kidogo..So huyu ni strategic player kama mdau mmoja alivyosema hapo juu.

Kuna goli alifunga Vs Arsenal jingine Vs Southampom kama sijakosea mnaweza kutumia kama reference..jamaa anauwezo wa kudrible fasta kuelekea goli la wapinzani

√Mtu anaposema mchezaji anakuwa hatari asipokuwa na mpira naamini anaongelea jinsi anavyoviposition,movement zake uwanjani n.k..mfano mchezaji anaweza kukimbilia upande fulani akatengeneza space kwa wachezaji wengine kuwa katika nafasi nzuri ya kufunga..Pia ukabaji na mambo mengine

√Yote kwa Yote,Uongozi ndo wakulaumiwa kwa kushindwa kununua no 10 proper ambaye ni mfungaji mzuri na mtengeneza nafasi mzuri.
 
Hawa jamaa uingereza unawapofusha sana, ndio maana pamoja na ujinga wote anaofanya Rashford hawezi kusemwa. Muone huyu.View attachment 1222516
Hayo maneno mkuu aliyasema kabla ya world cup, na unless hujui kilichotokea world cup Ni kwamba Jesse kaisaidia Sana Uingereza mpaka kufika nusu, yeye na Maguire. Na pia alishinda tuzo ya Goli Bora la michuano na Hyundai.
 
Mkuu Lukaku ameuzwa tarehe 8 mwezi wa 8 na dirisha linafungwa tarehe 9, na kwenye mahitaji ya Ole striker Alikuwepo, Tofauti ya Ole na Mou au LVG Ni kwamba OLE Hana tabia ya kuongea Negative kwenye vyombo vya habari wakati Mou yeye hakopeshi anakuchana hata Kama Ni bosi wake.

Tulikuwa linked na Mandzukic + Dybala wote Hawa walikuwa wanakuja pamoja na Wana magoli Yao, tunajua ilikwamishwa na imaging Rights za Dybala, Ila Tetesi zinaendelea January mandzukic anakuja Man UTD.

Bila kusahau majina mengine Kama Ben yedder na Dembele ambao walikuwa linked na Man UTD.

Hata ole mwenyewe badala ya Dirisha kufungwa ameshakiri Mara 2 kwamba anahitaji striker.

30/8 hata kabla timu haijaanza kufanya vibaya alisema Man UTD Ina short ya striker mmoja na juzi siku 2 zilizopita amesema January akipatikana striker ambae anaendana na uchezaji wake atasajiliwa. Anafahamu yeye kwamba timu inahitaji striker.

Kuhusu kutumia Hela nyingi mkuu Ni kweli tumetumia lakini Nani anaezitumia? Ni Woodward mwenyewe mtu mwenye zero Football knowledge. LVG anamtaka Robben na Muller analetewa Falcao na Di Maria, Mou anataka perisic yeye anaona sio Hana market anamleta Sanchez, kocha anasema anamtaka Maguire Woodward anakataa anasema una beki wa kutosha, then baada ya mwaka mchezaji huyo huyo unamnunua ghali zaidi. Hela zetu zinasajili Woodward anavyotaka na kuhakikisha wachezaji wanaingizia timu Hela na sio kuziba mapengo ya Timu, mwaka wa 7 huu bila winga wa kulia timu iliokuwa Tajiri duniani, LVG, Mou na hata ole kila mmoja ametaka winga wa kulia hajakuja hata mmoja.

Na ukiachana na Kocha na wachezaji timu yetu pia Ni ya kizamani sana, angalia tunavyoandamwa na Majeruhi, angalia mascout wetu, angalia wataalamu mbalimbali structure ya Timu ipo hivyo, uwanja, academies na infrastructure mbalimbali za mazoezi hata haziwi improved, glazer hajatoa hata shilingi 10 yake mfukoni ku invest man UTD anachojua yeye Ni kuchomoa Hela tu, kila miaka inavyokwenda tunazidi kuwa outdated. AWB kacheza msimu mzima Crystal palace mwaka Jana Ila toka kaja man U kashakuwa Majeruhi mara 2, Huyo Luke Shaw alikuwa anamaliza msimu Soton Ila toka aje man UTd tunajua wenyewe, angalia Jones, martial, Sanchez, Baily, na wengineo Ni coincidence? Wakija tu man U Ni Majeruhi?.
Ole anaweza kuwa amesajili wachezaji wazuri lakini hii haiondoi ukweli kwamba OGS sio kocha mzuri na hata akipewa muda na wachezaji wazuri tactical ni mbovu na hakuna dalili ya kujenga timu wala kushinda chochote as alivyokuwa anapewa nafasi

1.So far amefundisha timu almost mwaka mmoja alipaswa kuyafahamu matatizo ya msingi na kuyafanyia kazi but timu inazidi kuwa mbovu zaidi

2.Players kama Martial,Lingard,Rashford sio wazuri lakini walicheza vizuri zaidi kwenye era ya LVG & Mourinho enzi hizi za OGS wanazidi kuwa mizigo siku zinavyozidi kwenda.

3.United ime-improve hasa kwenye defence kwa kununua wachezaji wazuri (individual) na sio mbinu au mfumo wa kocha

4.Players wanaumia mara kwa mara kutokana na poor decision ya kocha kuwachezesha wakiwa hawako fit (last season game vs Liverpool),Baada ya game ya Arsenal amekiri alikosea kumchezesha Pogba kwenye mechi ya Rochdale sababu hakuwa fit
 
Ole anaweza kuwa amesajili wachezaji wazuri lakini hii haiondoi ukweli kwamba OGS sio kocha mzuri na hata akipewa muda na wachezaji wazuri tactical ni mbovu na hakuna dalili ya kujenga timu wala kushinda chochote as alivyokuwa anapewa nafasi

1.So far amefundisha timu almost mwaka mmoja alipaswa kuyafahamu matatizo ya msingi na kuyafanyia kazi but timu inazidi kuwa mbovu zaidi

2.Players kama Martial,Lingard,Rashford sio wazuri lakini walicheza vizuri zaidi kwenye era ya LVG & Mourinho enzi hizi za OGS wanazidi kuwa mizigo siku zinavyozidi kwenda.

3.United ime-improve hasa kwenye defence kwa kununua wachezaji wazuri (individual) na sio mbinu au mfumo wa kocha

4.Players wanaumia mara kwa mara kutokana na poor decision ya kocha kuwachezesha wakiwa hawako fit (last season game vs Liverpool),Baada ya game ya Arsenal amekiri alikosea kumchezesha Pogba kwenye mechi ya Rochdale sababu hakuwa fit
Issue ya Majeruhi Ni more than kocha, niambie mkuu kocha gani wa man U baada ya Fergie ambaye Hana janga la Majeruhi, Hilo Ni tatizo kubwa linalohusiana na structure ya Timu kuliko kocha. Fergie alikuwa na jopo la makocha 24, Sasa Hivi benchi la ufundi Ni Dogo Sana.

Unasema United ime improve defense sababu ya uwezo individual na sio kocha, je hao wachezaji wamenunuliwa na Nani? Hivi watu walikuwa hata wanamtaka AWB? Ole ametuaminisha Ni mzuri na Kuna watu walikuwa Hadi wanaponda Bei yake humu Ila Nani Sasa Hivi anaweza pinga usajili wake? Wangapi wakisema anunuliwe yule beki wa psg? Wangapi walisema anunuliwe wa Norwich?

Pia mkuu napingana na wewe kwamba martial na Rashford wamecheza vizuri zaidi enzi za Mou na lvg nakupa stats.
-kwa Mara ya kwanza Rashford amefikisha double digits goals kwenye ligi Ni msimu uliopita chini ya ole hajawahi fikia hio figure chini ya Mou Wala LVG amefunga goli 10 vs 7 ambazo ndio nyingi zaidi chini ya Mou.
-kwa Mara ya kwanza Rashford amefikisha assist 6 kwenye ligi ambazo hajawahi fikisha nyingi zaidi Ni 5 msimu wa Mou.

So niambie wewe mkuu, goli 10 na assist 6 ndani ya nusu msimu wa ole ndio Bora zaidi kwa Rashford kuliko misimu yote unaanzaje kusema kacheza vizuri zaidi misimu iliopita?

Tuje martial.
Martial chini ya Mou hajawahi fikisha goli 10 Ila chini ya ole amefikisha na chini ya LVG ana goli 11 hivyo lvg alimtumia vizuri zaidi martial kuliko wote na Ole Ni wa Pili, Ila ukiangalia zaidi msimu uliopita ole hajafundisha wote Ni impressive maana amefikisha goli zaidi ya za Mou kwa muda machache zaidi.

Na hata ukiangalia martial msimu huu amecheza mechi 3 tu lakini ana goli 2 na assist 1 tayari inamaana Ni average contribution 1 kwa kila mechi, huwezi kuwa serious ukasema martial anacheza vibaya zaidi chini ya ole.
 
#TBT
Jesse Lingadinho
 

Attachments

  • IMG_20191003_132526.png
    IMG_20191003_132526.png
    115.9 KB · Views: 14
Mkuu mbona mbishi sana ,mtu ambaye hana mpira anaassist vipi?ushaambiwa ni "HATARI AKIWA HANA MPIRA" labda hiyo sentensi hapo ulikuwa hujaielewa vema..
Si angechezeshwa beki wa kushoto au kiungo wa chini kama kukaba ndio sifa yake kuu. Hivi timu isiyokuwa na wachezaji wabunifu unamuwekaje namba 10 mwenye sifa kuu ya kukaba badala ya kufanya kazi yake ya msingi?
 
Accademy players on the pitch yesterday.

26 - Lingard
26 - Pogba
23 - Perreira
22 - McTominay
21 - Rashford
21 - Tuanzebe
17 - Greenwood

Stop with the accademy comment. It's about the quality.

SAF didn't promote the whole accademy in the first squad probably after the class of 92. You must be good to play for United and not because you are from the accademy.

Remember Bruno Fernandes ambaye tumeambiwa tumemuacha kwasababu ya kupoteza pass, kwenye mechi 9, ana goli 10, assists 5.

I bet Lingard can't get a regular start for Leicester or Wolves.
even Crystal Palace
 
According to Fabrizio Romano Allegri anajifunza kingereza na yupo Tayari kuchukua Nafasi ya Ole Man UTD.


Sitashangaa hata Ed akiwa ameshamwaga mpunga.

Timu yetu hii majanga.
hata Zidane alijifunza kidhungu na sijui waliishia wapi katika madarasa yao.

na ubaya wetu sisi mashabiki mtu akijifunza kingereza tu basi anataka kazi United.
 
Misimu minne kama sio mitano kwa Rashford pale United. Uwezo wake ndio umefika mwisho, hana la ziada anaweza kukupa kamwe. Kama kina Tom Cleverley. Miaka 21 sio mtoto tena kwenye mpira wa miguu. Mchezaji anayepata chance kila mechi na bado anavurunda ni tatizo pia. Rashford sio standard ya United tena, hana quality tena. Angeuzwa wakati Barca wanamtaka.

Nimesema James ni bora kulinganisha na hao hohehae. Kama DeGea alivyokuwa mchezaji bora wa msimu for 2 or 3 years. Manake timu haina quality tena.

Ole alikuja katikati ya msimu, alishakuwa anayaona mapungufu ya timu mapema. Alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuuza wachezaji wabovu wote na kuleta wapya wa kufit kwenye kikosi chake.

Kumuuza Herera ni kosa kama kumuuza Lukaku. Kumuacha Young, Jones na Lingard ni makosa pia.

Kumbuka EPL ni ligi ngumu na kubwa kama Man Utd ilivyo timu kubwa. Muda wa majaribio akafanye akiwa Modle huko.

Kufanya majaribio ya formation mpya na haikupi matokeo ni matatizo pia. Hatuna huo muda wa kuendelea kusubiri.

Ni bora tuwe na formation ya kueleweka iwe identity ya United na sio kocha aje na majaribio ya formation yake.
Samahan wakuu, hv mnaatarifa kuwa tunatengeneza timu, na according to Woodward tupo kwenye right track with the right manager,

Kuwa below ten sio tatizo, after three years of rehearsal ndo tutaanza ku keep in mind about United epl standing...
 
Samahan wakuu, hv mnaatarifa kuwa tunatengeneza timu, na according to Woodward tupo kwenye right track with the right manager,

Kuwa below ten sio tatizo, after three years of rehearsal ndo tutaanza ku keep in mind about United epl standing...
Hatuhitaji kauli ya ed kuthibitisha ukweli wa tunachokiona kwa macho yetu kuwa ni kweli. Au ndio mambo ya jicho la 3 ili kuona uchanya wa united hii inayojengwa?
 
Back
Top Bottom