Bruno Fernandez sio no 10 Ila Dybala ndio no 10, Bruno Ni kiungo wa kati Kama vile Mc tominay, Fred ama pogba. Hata angekuja Man U asingechukua no ya Lingard.
Kuhusu lingard mkuu tumeshaongea Sana comments zilizopita huko nitajaribu tu kupoint kiufupi kwa heshima yako.
-Lingard ndio top scorer wetu Wembley na makombe mawili ya Fa na Efl chini ya LVG na Mou yote tumeyapata kwa goli la ushindi la Huyu jamaa, sio hivyo tu hata nusu zake za Wembley kafunga.
-kama sijakosea Ni 2Nd top scorer wetu kwenye big matches against top 6 wenzetu.
Kwa hizo point mbili Hapo juu jamaa anahandle pressure vizuri kuliko wachezaji wetu wengi masuper star wanaopotea mechi kubwa.
Nilimfananisha Lingard na ji sung park, role yake kubwa Ni kutia pressure na kukaba juu kabla timu pinzani hawajafikia midfield yetu, park hakuwa akijulikana kwa assist Wala magoli, msimu mzima anaweza funga goli 4 tu. Tofauti ya kipindi kile Ni kwamba tuna Nani, park, Giggs etc wote wanaweza cheza eneo moja na wanapokezana kutokana na mechi inavyohitaji Ila Sasa tuna Lingard na Mata tu pamoja na Gomez ambaye bado haja blend 1st team.
Hivyo unapoangalia uchezaji wa lingard uziangalie tu magoli na assist angalia vitu Kama Hivi toka adebut man UTD
View attachment 1222266
Kwa kazi anayopewa anaifanya vizuri ndio maana wote kina Mou, lvg, Moyes, Fergie, ole wanamkubali. Na sio kosa la lingard kutokuwa na mbadala wake, timu itafute no 10 mzuri acheze, yeye atatumika pale anapohitajika.